Ndahani
Platinum Member
- Jun 3, 2008
- 18,119
- 9,049
Unajua ni ngumu sana kuzuia hisia ama speculations yanapotokea mambo kama haya hususan kwa watu maarufu kama dr ulimboka mzee,kuna watu mpaka leo wahisi na wanaamini mbowe ndio alipanga njama za mauaji ya marehemu Chacha wangwe na watu hao hata uwaeleze nini tofauti na hisia zao hawawezi kuamini lakini hiyo haihalalishi moja kwa moja kwamba freeman mbowe kweli anahusika in one way or another na kifo kile,kwa hiyo hisia za wananchi haziepukiki lakini kama great thinker tunatakiwa kuishi na facts kuliko hisia za wananchi ambazo hazizuiliki
Uhai wa watanzania si kitu cha kuchezea kwa mtu awaye yoyote yule na siamini kama nasukumwa na hisia. Hili la mdaktari siasa na ubabe umelikuza tatizo. Unajua taasisi nyingi za umma kama TRA, Polisi etc mara nyingi mambo yao yanaendeshwa kwa ubabe ubabe wakitegemea hakuna namna mtu aliye nje ya utawala atakataa lolote wanalolifanya. Look at the mess...we have spilled all over. Tulipo sasa tujifunze kushusha egoes zetu na kutambua nafasi za watu wengine ili tuijenge nchi. Kila taasisi na mwananchi anaowajibu wa kuchangia ujenzi wa Taifa hili..