Personal attacks kwa Dr. Ulimboka zimeanza! Waziri mkuu kadhihirisha utendaji duni

Rich Dad

JF-Expert Member
Dec 15, 2010
748
133
nimeshangazwa sana na kauli wa waiziri mkuu kufuatilia personal profile ya dr. ulimboka.

updates
- alichokisema waziri mkuu:

kaeleza jinsi Dr. Ulimboka alivyowahi kuongoza mgomo wa madaktari nchi nzima mwaka 2005. Aeleza pia kwamba kumbukumbu hazioneshi kwamba Dr Ulimboka alimaliza internship hospitali ya muhimbili. Kaenda mbali pia kusema amepewa barua ya Dr Ulimboka kwenda chama cha madaktari kukiri kutojihusisha na ushawishi wowote kwenye masuala ya migomo mwaka 2005 baada ya kusamehewa na Rais asifutiwe uanachama wake.


MAFILILI
Today 22:22
#9 JF Senior Expert Member Array


Join Date : 28th April 2011
Posts : 489
Rep Power : 341


[h=2]
icon1.png
Re: ni sahii waziri mkuu kusoma profile ya mtumishi hadharani[/h] Msingi wa yote ni kiburi cha madaktari kukataa wito wa mkubwa. Ndipo watanzania tumejulishwa Dr. Ulimboka mtu gani:
1. 2005 aliongoza mgomo Muhimbili
2.. Akasimamishwa na kupewa onyon kali na MAT
3. 2006 Rais akampa msamaha
4. Aliandika barua kwa MAT kuomba msamaha na kuahidi atajihusisha tena na migomo
5. Rekodi zinaonyesha mafunzo ya intern hajamaliza
6. Hana cheti cha udaktari
7. Ni mfanyakazi wa NGO ya UKIMWI

Hapo Pinda asilaumiwe bali Ulimboka ahukumiwe kwa kuwaburuza madaktari
 
Yani mkuu mimi ndio nimeshindwa kumuelewa kabisaa...na hili ndilo tatizo la viongozi wengi wa afrika and Tanzania in particular.Yani anaongea kwa dharau hati,huyu Bwana Ulimboka sijui katoka wapi,sijui kapewa onyo shit!! Yaani kama ningekuwa na uwezo na ujasiri ningejiunga Boko Haram ili nimlipue huyu mtoto wa mkulima...Yani kaongea hoja ambazo ni nyepesi,hati serikali haina uwezo,hivi posho za wabunge na wao huko juu wana uwezo ila kwa waganga no!! Jamani nawaambia madaktari mkikubali kutepeta kesho hata Mungu atawalaani lol!
 
....Ndiyo zao hizo lazima waweke mkwara mzito sana dhidi ya Ulimboka mpaka aogope kuongoza jahazi....inasikitisha sana kusema kweli.

Aaangalie...... wasije wakamfanya kama mwanafyale mwenzake Mwakyembe..........
 
wekeni kilichosemwa basi ili sote tuelewe..binafsi sielewi mnajadili nini hapa?
 
personal attack ziko wapi hapa Jf mpaka unataka tujadili issue isiyo kamili tupe mkanda wote tujue kama kweli lilikuwa shambulio binafsi au la
 
Kimsingi alikuwa anataka ku justify kauli yake kwamba Kiongozi wa madaktari ni mkorofi na anapenda migomo badala ya suluhu, kwani aliwahi kuongoza mgomo wa madaktari nchi nzima mwaka 2005.
wekeni kilichosemwa basi ili sote tuelewe..binafsi sielewi mnajadili nini hapa?
 
eti......huyu ulimboka ni nani huyu, katokea wapi......

Badala ya kutoa majibu yeye anatafuta profile ya mtu.....yale yale ya manufacturing of teachers...
 
unafikiri kweli kama mwakyembe angakuwa kapewa sumu angekaa kimya basi atakuwa si mwakyembe ninayemfahamu mimi hajui kumung'unya maneno angesema tu. kukaa kwake kimya maanake ni ugonjwa wa Mungu.
 
Mtu mwenye tamaa tamaa ya posho za laki mbili kama Pinda lazima aweke pamba masikioni kutoangalia maslahi ya wengine wenye mahitaji kama yake
Pinda Komaa baba wanasema serikali yako na hasa wewe huwezi kuchukua maamuzi magumu.
 
Back
Top Bottom