L'AMOUR
Senior Member
- Mar 8, 2011
- 110
- 24
wanaJF tafadhali kama kuna mtuu anayo CD ya
hiyo ya pepe kalle naomba anisaidie niweze kuipata maana juhudi zote za kuitafuta Dar es salaam zimeshindikana. Naomba mnifanyie hisani hiyo.
Natanguliza shukurani kwa mwongozo wowote
[h=3]Pepe Kalle- Ce Chale Carnaval[/h] |