People's power ni hatari

Kwani wanatukanwa au wanapewa ukweli? Maana kuishabikia ccm kwa sasa inakupasa uwe na akili ya maiti.

Kama wewe unavyoipenda CHADEMA wapo wanaoipenda CCM na kama wana akili ya maiti na wewe pia unayeipenda CHADEMA pia una akili za hivyo maana vyote ni vyama vya siasa....hawa mnawaita Magamba na nyie ni magwanda.
 
Kumbe walimu walikuwa ni CCM na sasa wamewageuka? Hivi hawa wazee nani anayewaambia kuwa ajira za serikali ni za CCM?
 
Nimeipenda sana hiii........peoples power tehetehetehete...............watakoma na kwa staili hii walimu nawapongeza ndo watakaoleta mabadiliko
 
duh ama kweli sikio la kufa halisikii dawa,owiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii mpaka kieleweke ndo tutanyamaza,kama hamtaki kuacha ufisadi kubalini kuzomewa.Hatari iliyoje wazee wanaogopa kuzomewa,kwanini basi wasipinge dhuluma inayo fanyika ndani ya nchi hii,nguvu kubwa ya kutaka madaraka ilihali uwezo wa kuognoza umewaishia,Chama Cha Malalamiko(ccm) kinazidi kushtumiana kila kukicha hawajui kuwa samaki ujikaanga kwa mafuta yake mwenyewe.Leo utasikia bomu la ukosefu wa ajira laja wengine ndani yao wanapinga kwa takwimu za kupika wapi tunaelekea.

Acha wafu wakokote wafu wenzao,kwani saa ya ukombozi imefika,ikiwa hata watoto wameona na wamepembua ujue kilichobaki ni Utunisi na Umisri tu kuelekea ukombozi wa kweli.Shule za kata zilizoanzishwa kisiasa ndizo daraja la kukata mirija ya dhuluma ya madhalimu waliokula na kuvimbiwa kiasi sasa wamesahau wenye njaa.Haiwezekani thamani ya kuku ikawa ni kumkarimu mgeni tu,akishapaita mgeni thamani yake nayo hupotea.Watanzania si kuku wa kienyeji kama wenye matumbo makubwa wanavyo dhania.Kamwe msikubali kuwa kitoweo cha wageni wakati wa uchaguzi ili kukidhi njaa za wapiatao ili hali wakisha kula wanawasahau na kuwaona hamnazo.Leo ndo wakati wetu sasa wa kuwaonyesha kuwa wao ndo hamnazo na sisi kuthibitsha kuwa tukiamua tunaweza.Kila mpiga kura wa Arumeru apige kura kwa umakini akijua kuwa ana shibisha tumbo la walafi au ni kura yake ya ukombozi dhidi ya dhuluma
 
Oh bless their souls!

... Tell you what, if all MPs, Ministers, President, DOs, DCs, Chiefs, Sub~Chiefs, etc, and even Common Mwananchi were doing the same, Tanzania would be different as we speak!

... Well done to those who took a step...People's powers. God bless us all!
 
Back
Top Bottom