People to meet...

Mie sina MTU ninayetamani kukutana nae wala kumuona.

Binadamu majungu matupu na wanafki. Hakuna cha celebrity wala nini, binadamu woote ni sawa tu kwangu hawana kipya.

Ila ningependa kukutana na MUNGU na Bwana YESU......

umeniacha hoi
 
NASIKIA JAMAA KAFUKUZWA MAYFAIR!ilikuwaje?

Ha ha ha ha ah Xspin welcome back, how was the seminar? I gara u on ma celular meen u now wora i mini .... whats up will Elizabeth meen? am told shez suckd out of BB4? Amani kwa B.
 
NGULI mwenyewe!
nasikia umefukuzwa mayfair,unaweza tolea maelezo?:D
 
Nimapema mno kuzungumza nahisi ni SEMENYA kanimaliza na nyamayao ndio maadui zangu. Naombeni ulinzi wapwa.
 
Ha ha ha ha ah Xspin welcome back, how was the seminar? I gara u on ma celular meen u now wora i mini .... whats up will Elizabeth meen? am told shez suckd out of BB4? Amani kwa B.

Hahaha! Seminar? Hahaha! Lots of blah blah but the wallet had it. Yu knoo woram seeeing? Hahaha! Elizabeth out? Poor little girl. Wish my ZD woz there. She could kick all their asses if you undestanding what I mean.
 
you can say it again!
 
Nimapema mno kuzungumza nahisi ni SEMENYA kanimaliza na nyamayao ndio maadui zangu. Naombeni ulinzi wapwa.
hahahahahaha!hili swala linahitaji geti-tugedha kwa majadiliano zaidi!bodi ya geti tugedha inafikiria kukaa ndani ya siku kumi ili kujadili geti-tugedha nyingine.mwenyekiti wa bodi ndugu x-pin anamalizia agenda mbili tatu
 
You have said it. This time mdudu lazima abariki meza.
 
hakika!mdudu lazima abariki meza!kuna mdudu mzuri sana mkulima bar,pale kona.kuna jamaa anaitwa KINIBU,anachoma mdudu safi sana.nataka bodi ikae pale kuijadili geti-tugedha
 
hakika!mdudu lazima abariki meza!kuna mdudu mzuri sana mkulima bar,pale kona.kuna jamaa anaitwa kinibu,anachoma mdudu safi sana.nataka bodi ikae pale kuijadili geti-tugedha

swadakta! Now ur talking.
 
hakika!mdudu lazima abariki meza!kuna mdudu mzuri sana mkulima bar,pale kona.kuna jamaa anaitwa KINIBU,anachoma mdudu safi sana.nataka bodi ikae pale kuijadili geti-tugedha

Count on MY PRESENCE. Kinibu? Hahaha! Atakuwa Bwashee wako huyo lazima.
 
Kim Jong (North Korea)
Vladimir Putin
Mohamed Ahmedjab (President of Iran)
Hu Jintao
Hugo Shavez
Mwanakijiji
(Wengine sitaki kabisaaaaaaaaaaaaaa)
 
Pope
Usain Bolt
Members wa JF especially Mwanakijiji na huyu George-Porjie(Sijui ni Cartoonist huyu jamaa)

mkuu nashukuru sana kwa kutamani kuniona!!, hata mie natamani sana nikuone mkuu!!. next time lets not miss the Get Together, tutabambana tuuu there!.
 
hakika!mdudu lazima abariki meza!kuna mdudu mzuri sana mkulima bar,pale kona.kuna jamaa anaitwa KINIBU,anachoma mdudu safi sana.nataka bodi ikae pale kuijadili geti-tugedha

mpwa,
huyu KINIBU lazima siku tukienda pale atupe kilo moja ya mdudu free, coz tumemfanyia bonge moja la PROMO ndani ya JF!!!, yani hapa hadi wabeba box washamjua who is KINIBU
 
Ningefurahi saaaaan kama ningekutana na yule Superman wa Nazareth YESU KRISTO Mwana Wa Mungu Aliye Hai(JEHOVAH) ili aniokoe dhambi zangu na kunikabidhi ufunguo wa kuifungua Mbingu niingie!!
 
Fanyeni ni meet na first lady, what should i do. After that tupange get together yetu.
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom