People Rights against torture in Tanzania

Mlandula Juma S

New Member
Jun 23, 2009
1
0
People rights against torture in Tanzania.

I just make research on this matter. My hypothesis are firstly the government of Tanzania does not protect peoples rights against torture despite of incorporated in the constitution. Secondly hypothesis is people are not aware about their rights and mechanism of enforcing it
 
Are you researching on Torture with regards to CAT?If yes then u r looking at the 1st generation HR.I would then wish to contribute as follows:

The responsibility to protect citizens lies with the State. All HR instruments are clear on this.The state does this through its machinery - police, courts, prisons etc.

There could be problems with the machinery whereby abuse can occur as has always been the case - kumbuka mauaji yanayofanywa na vyombo kama polisi etc.

Kuhusu wananchi na uelewa wa haki zao, wananchi sasa wanapata mwamko kuhusu haki zao, lakini kuamka tu kuna maana yoyote? je wananchi nao wanatekeleza wajibu wao?

- Kwenye HR framework kuna duty bearers na Rights holders na wote wanatakiwa kufahamu haki na wajibu na kutekeleza.
 
Kitu ambacho kimekuja kunistaajabisha niliposoma pahala kuhusu rekodi za uvunjaji wa haki za binaadam katika utawala wa awamu ya kwanza nilishtuka sana kuona ama kuhisi kuwa mambo yale yametokea, achilia mbali awamu zilizofuatia.
 
Kitu ambacho kimekuja kunistaajabisha niliposoma pahala kuhusu rekodi za uvunjaji wa haki za binaadam katika utawala wa awamu ya kwanza nilishtuka sana kuona ama kuhisi kuwa mambo yale yametokea, achilia mbali awamu zilizofuatia.

Can you share plz.
 
Mi nadhani hizi nchi ambazo zinafuata misingi ya siasa za kijamaa, hakuna kitu kinacho itwa haki za raiya. Ni mara ngapi tumeshuhidia, hao tunao waita washukiwa wa uharifu wakipata kipigo wafikishwapo vituo vya Polisi?

Nani hakumbuki kipindi cha awamu ya kwanza ya uraisi Tz, raiya wengi walinyang'anywa mali zao kwa kisingizio cha wahujumu uchumi.

Nani hakumbuki pale JKT walipo ruhusiwa kusaidiana na polisi kulinda amani, na wakaanza kupiga raiya eti tu umekutwa na sabuni aina ya KODRAI au box la viberiti, dawa za meno (enzi hizo eti zilikuwa bidhaa adimu). Na mengine mengi ambayo yanaendelea mpaka leo hii.

Je ni wangapi leo hii wameshawahi kukamatwa na polisi bila kupigwa angalau vibao kama si mitama na ngwara!?

Ukikutana na polisi mstaarabu, akikufikisha kituoni, si ajabu kusikia aliyeko pale kauta, akikupokea kwa maneno makali... "yaani unarireta kituoni kama rinakuja arusini, ebu ripatie richai kwanza!"
Hapo ujuwe kibano, kisha ndio anauliza tatizo. Akigundua kuwa umekuja pale kituoni kuripoti kuibiwa ndio anajitia mstaarab, "sasa mbona ukusema mapema, iri ni rijeshi ra polisi bwana hatutaki muchezo"
 
Can you share plz.
Nilikuwa nasoma stori ya victim mmoja goes by the name L. S.Mwijage, ndo nikajua kuwa hizi kelele tunazopiga za ufisadi na uvanji wa haki za binaadam kumbe zimeanzia ktk serikali ya awamu ya kwanza,ni masuala yaliyohusu matukio ya 1980s vijana wale walipojaribu kupinga na dhana za kijamaa za mwalimu. Nitakuwa sikosei kama matukio anayoelezea Mwijage ndo yaleyele ya ktk ile kesi maarufu ya uhaini miaka hiyo ya 1980{Khatibu Gandhi vs R,198?...TLR....}
 
May be the first thing for citizens to know is their rights before getting to know whether they get them or not. The case of torture has always been a hidden thing in the country and most of the time we come to hear it as a written story or sometimes from the first source. Attending a course on universal human rights, one good thing I learnt is "It is your right until it interferes someone else's freedom". Take that as a beginning and find out what follows..
 
Back
Top Bottom