People living around Mt. Kilimanjaro

jamani mbona hamjaweka wa kipare....mnisamehe ,,,

Mchaga na Mpare walikuwa kwenye pombe za kienyeji, Mchaga akamwambia Msuya, sisi wapare tunaomba sir God afute ile amri ya saba wapare wote watakuwa peponi aitheee! Moshiro naye akasema Msee ile amri ya nane ni shida kwetu uchagani, ikufutwa ile wote tuko mbinguni babaangu!
 
Back
Top Bottom