People living around Mt. Kilimanjaro

There is no chagga tribe but just different groups of people living around that mountain of Kilimanjaro with the following characteristics:

WASIHA: they are too backward,hawakwenda shule bado wanavuta ugoro kama wamasai,wanaume wanatahiriwa nusu!! Chaa achana nao.

WAMACHAME:huwezi kujua nani mwanamke na nani mwanaume,kila kitu ni pesa.yaani hata kama ni mkeo wa ndoa inakua hivi,’kama huto pesa ya mbege ndoa yangu sikupi babangu’basi kule Machame chakula cha ndoa(mapenzi) ni kwa kipimo,ukiwa katikati mama anakwambia stoooop! Hapo shilingi hamsini zako ndio zimekwisha,ukitaka ongeza uendelee.

WAKIBOSHO:specialized bandits,akina mama wakiwa wanatoa soga na mwenzie utawasikia hivi” yaani dadangu we acha Alex wangu siku hisi amepefuka kweli,ana akili we acha tu! Haibi tena mfukoni siku hisi ameunda kundi lake la ujambasi,krismasi ikifika lazima nitaletewa fitenge fya kongo” ladies likewise AKIOLEWA NA KYASAKA baba na mama wanamwambia hivi” hivi wewe huyu mwanaume kwani ni ndugu yako? Leta hizo pesa sake tujenge huku kwetu manka”!!

WAURU:very boring people,wakikaa ni kuongea kuhusu shule tuuuuu,masomo,digrii yaani Yukon not bilivu!Babu wa miaka 70 bado madaftari yake ya primary ameweka sandukuni!! Atawaonyesha wajukuu zake,ona hand writing yangu ilivyo nzuri wakati nafundishwa na father Wilson payatt.wanakumbuka majina ya walimu wao hasa wazungu tangu chekechea.wanamwogopa sana Mungu,kengele ya Kanisani ikilia saa sita utawaona wazee wote kilabuni wanasimama na kusali sala ya mchana ndio wanaendelea kunywa mbege.

WA OLD MOSHI:actually Mama Mkapa ni beauty queen kule kwao.yaani mimi sisemi nenda kachague wewe mwenyewe.wanaume ni wabishi balaa1 wanakunywa kisusio cha Nguruwe!! Na Gongo nyingiiiiiiiiii!

WAMARANGU:wanaume wote ni waongo.actually kuna somo la jinsi ya kudanganya shule zote za primary kule Marangu.both wanaume na wanawake maisha ni raha tupu.kwa Mmarangu halisi,kwanza ananunua gari,anachapa maisha,nae kulala kwenye gari wakati kodi ya nyumba inamshinda ni jambo la kawaida.

WAROMBO:kazi mtindo mmoja! Wanawake tunawaita KUBOTA aina ya matrekta yaliyosambazwa Kilimanjaro na wajapani,watafutaji wa pesa!!!! We acha tuu,lakini ukimchezea anakuua na kukimbilia kenya.

Kirua Vunjo : WanaKV.....Wanaume wanaotoka eno hili ni walevi na wezi sana!! na wanawake wao hawajui kabisa mapenzi, wanaweza kuwa katikati ya mechi ukiwaambiwa wewe Lyimo ebu malisa haraka hii kitu inawesa chakaaa ebooo unafikiri hii ni mpira !

BORING!Kila mtu anaanzisha hii post ikiwa na kichwa tofauti.Ingekua utani ningesoma nipite ila kwasababu unaonekana uko serious na unaongelea kitu unachokijua ngoja nikuulize maswali kuhusu hayo madai yako!

1. Umeuona uchi wa mwanaume wa KISIHA ukajihakikishia usemayo ama anatafuta tu namna yakujiongezea post??

2.Umewahi kuwa na uhusiano na mwanamke wa KIMACHAME akakwambia umpe pesa kabla hamjaanza tendo la ndoa?Ama akakukatisha katikati???

3.Umewahi kuwa mmoja wa washiriki katika hivyo vikao vya kina mama wa KIKIBOSHO ukasikia hayo maongezi au ni maneno yakuokota hapa na pale??

4.Umewahi kushiriki kikao cha pombe cha wazee wa KIURU ukaona wanavyosimama na kusali???Na hao wanaoeleza habari za shule tu hata kama ni kweli.....ubaya uko wapi???

5.Umewahi kwenda OLD MOSHI ww??Na wewe ni nani kuamua kwamba hamna wanawake wazuri kule??

6.Waongo wote wamezaliwa MARANGU au na WAMARANGU??

7.Ulishauwawa na MROMBO ww??

8.Umewahi kuwa na uhusiano na mwanamke anaetokea KIRUA??

Kama ulianzasha hii thread kama utani, then you shouldn't have coz it's been said too many times already.Kama ulikua siriaz kama nilivyoona mm , acha uzuzu maana hamna kitu kama ulichosema.
 
There is no chagga tribe but just different groups of

WAMARANGU:wanaume wote ni waongo.actually kuna somo la jinsi ya kudanganya shule zote za primary kule Marangu.both wanaume na wanawake maisha ni raha tupu.kwa Mmarangu halisi,kwanza ananunua gari,anachapa maisha,nae kulala kwenye gari wakati kodi ya nyumba inamshinda ni jambo la kawaida.
!

hahahaa hii imenichekesha sana ...kumbe wanaume wa kimarangu waongo eeh?
 
BORING!Kila mtu anaanzisha hii post ikiwa na kichwa tofauti.Ingekua utani ningesoma nipite ila kwasababu unaonekana uko serious na unaongelea kitu unachokijua ngoja nikuulize maswali kuhusu hayo madai yako!

1. Umeuona uchi wa mwanaume wa KISIHA ukajihakikishia usemayo ama anatafuta tu namna yakujiongezea post??

2.Umewahi kuwa na uhusiano na mwanamke wa KIMACHAME akakwambia umpe pesa kabla hamjaanza tendo la ndoa?Ama akakukatisha katikati???

3.Umewahi kuwa mmoja wa washiriki katika hivyo vikao vya kina mama wa KIKIBOSHO ukasikia hayo maongezi au ni maneno yakuokota hapa na pale??

4.Umewahi kushiriki kikao cha pombe cha wazee wa KIURU ukaona wanavyosimama na kusali???Na hao wanaoeleza habari za shule tu hata kama ni kweli.....ubaya uko wapi???

5.Umewahi kwenda OLD MOSHI ww??Na wewe ni nani kuamua kwamba hamna wanawake wazuri kule??

6.Waongo wote wamezaliwa MARANGU au na WAMARANGU??

7.Ulishauwawa na MROMBO ww??

8.Umewahi kuwa na uhusiano na mwanamke anaetokea KIRUA??

Kama ulianzasha hii thread kama utani, then you shouldn't have coz it's been said too many times already.Kama ulikua siriaz kama nilivyoona mm , acha uzuzu maana hamna kitu kama ulichosema.
punguza hasira mama!inaonekana wewe ni wa-machame:D:D
 
Mommy acha jazba sio kila kitu ni serious JF
 
There is no chagga tribe but just different groups of people living around that mountain of Kilimanjaro with the following characteristics:
when u combine those groups, u gate chagga tribe, teh teh teh...!
WASIHA: they are too backward,hawakwenda shule bado wanavuta ugoro kama wamasai,wanaume wanatahiriwa nusu!! Chaa achana nao.
wanatahiriwa nusu? how Masa!?
WAMACHAME:huwezi kujua nani mwanamke na nani mwanaume,kila kitu ni pesa.yaani hata kama ni mkeo wa ndoa inakua hivi,’kama huto pesa ya mbege ndoa yangu sikupi babangu’basi kule Machame chakula cha ndoa(mapenzi) ni kwa kipimo,ukiwa katikati mama anakwambia stoooop! Hapo shilingi hamsini zako ndio zimekwisha,ukitaka ongeza uendelee.
wanaume huwa ni poa sana ila wanawake ni balaa, that i why they call them palestinian. my x bf alikuwa wa huku.
WAKIBOSHO:specialized bandits,akina mama wakiwa wanatoa soga na mwenzie utawasikia hivi” yaani dadangu we acha Alex wangu siku hisi amepefuka kweli,ana akili we acha tu! Haibi tena mfukoni siku hisi ameunda kundi lake la ujambasi,krismasi ikifika lazima nitaletewa fitenge fya kongo” ladies likewise AKIOLEWA NA KYASAKA baba na mama wanamwambia hivi” hivi wewe huyu mwanaume kwani ni ndugu yako? Leta hizo pesa sake tujenge huku kwetu manka”!!
siwafahamu sana hawa, ila nadhani ndo wa s badala ya z na ndio wakishika kisu hakirudi na akikuchoma kikikuvunjikia anakudai. (ndo wanaokaba kiandu hawa!!!)

WAURU:very boring people,wakikaa ni kuongea kuhusu shule tuuuuu,masomo,digrii yaani Yukon not bilivu!Babu wa miaka 70 bado madaftari yake ya primary ameweka sandukuni!! Atawaonyesha wajukuu zake,ona hand writing yangu ilivyo nzuri wakati nafundishwa na father Wilson payatt.wanakumbuka majina ya walimu wao hasa wazungu tangu chekechea.wanamwogopa sana Mungu,kengele ya Kanisani ikilia saa sita utawaona wazee wote kilabuni wanasimama na kusali sala ya mchana ndio wanaendelea kunywa mbege.
kishumundu pia si iko huku URU?
WA OLD MOSHI:actually Mama Mkapa ni beauty queen kule kwao.yaani mimi sisemi nenda kachague wewe mwenyewe.wanaume ni wabishi balaa1 wanakunywa kisusio cha Nguruwe!! Na Gongo nyingiiiiiiiiii!
my 1st tym kusikia kisusio cha Nguruwe!!!
WAMARANGU:wanaume wote ni waongo.actually kuna somo la jinsi ya kudanganya shule zote za primary kule Marangu.both wanaume na wanawake maisha ni raha tupu.kwa Mmarangu halisi,kwanza ananunua gari,anachapa maisha,nae kulala kwenye gari wakati kodi ya nyumba inamshinda ni jambo la kawaida.
my self ni MMARANGU, hilo la starehe i agree lkn uongo i desagree.
WAROMBO:kazi mtindo mmoja! Wanawake tunawaita KUBOTA aina ya matrekta yaliyosambazwa Kilimanjaro na wajapani,watafutaji wa pesa!!!! We acha tuu,lakini ukimchezea anakuua na kukimbilia kenya.
kuua siyo nature ya warombo bana!
Kirua Vunjo : WanaKV.....Wanaume wanaotoka eno hili ni walevi na wezi sana!! na wanawake wao hawajui kabisa mapenzi, wanaweza kuwa katikati ya mechi ukiwaambiwa wewe Lyimo ebu malisa haraka hii kitu inawesa chakaaa ebooo unafikiri hii ni mpira !
kwenye hiyo blue umenikumbusha home isee!!!
 
Mnaotoka chini na Mlima Kilimanjaro naombeni thanks duuuuuuuuuuuuuuuuu!

Nimekupa SENKSI kule chini. kwa condition moja yule aliyekuwa naonyesha interest kwangu halafu kwa sababu ya sredi yako akabadilisha mawazo itabidi mawazo hayo yaahamie kwako.....ushanifahamu?????
 
BORING!Kila mtu anaanzisha hii post ikiwa na kichwa tofauti.Ingekua utani ningesoma nipite ila kwasababu unaonekana uko serious na unaongelea kitu unachokijua ngoja nikuulize maswali kuhusu hayo madai yako!

1. Umeuona uchi wa mwanaume wa KISIHA ukajihakikishia usemayo ama anatafuta tu namna yakujiongezea post??

2.Umewahi kuwa na uhusiano na mwanamke wa KIMACHAME akakwambia umpe pesa kabla hamjaanza tendo la ndoa?Ama akakukatisha katikati???

3.Umewahi kuwa mmoja wa washiriki katika hivyo vikao vya kina mama wa KIKIBOSHO ukasikia hayo maongezi au ni maneno yakuokota hapa na pale??

4.Umewahi kushiriki kikao cha pombe cha wazee wa KIURU ukaona wanavyosimama na kusali???Na hao wanaoeleza habari za shule tu hata kama ni kweli.....ubaya uko wapi???

5.Umewahi kwenda OLD MOSHI ww??Na wewe ni nani kuamua kwamba hamna wanawake wazuri kule??

6.Waongo wote wamezaliwa MARANGU au na WAMARANGU??

7.Ulishauwawa na MROMBO ww??

8.Umewahi kuwa na uhusiano na mwanamke anaetokea KIRUA??

Kama ulianzasha hii thread kama utani, then you shouldn't have coz it's been said too many times already.Kama ulikua siriaz kama nilivyoona mm , acha uzuzu maana hamna kitu kama ulichosema.

Get panadol and plenty of water! maumivu yakizidi muone mganga wa kienyeji! Sorry sikujibu hata swali moja!
 
Mpwaz huyo anatake kila kitu serious.....hajakufaham bado....naona apo unakumbushia prescriptions tu lol
 
zimemchosha kweli, sikuhizi anatoa hata feki.....hujaanza kusema ugonjwa kisha maliza kuandika dawa....
haaaaaaaa watamkoma................
 
Back
Top Bottom