People dont know their true power

Hii iko sawa. Kila kitu cha mwanasiasa kinategemea udhaifu na upompo wa wananchi.
 
Hii iko sawa. Kila kitu cha mwanasiasa kinategemea udhaifu na upompo wa wananchi.
Yaan kikundi cha watu kama 1% (serikali) kinafanya maamuzi ya watu 99% (wananchi) tena bila kuzingatia maslahi mapana ya 99% (wananchi na bado hao wananchi wanakaa kimyaa! Hii haikubaliki.
Kuchukua hatua sasa ni wajibu wetu sote kwa pamoja na kila mmoja kwa nafasi yake.
 
Siku zote silaha kuu ya mkandamizaji ni ujinga wa mkandamizwaji,na hii ndio sababu hawa jamaa wanahakikisha wananchi hawaelimiki na mbaya zaidi wamewafunga macho kwa shule zao za kata ili wawadanganye vizuri lakini siku mwananchi atakapoelimika nadhani patakuwa hapakaliki.
 
Back
Top Bottom