Penzi la kwanza na vituko vyake...Lilinitoa jasho

platozoom

JF-Expert Member
Jan 24, 2012
9,366
11,154
Nazungumzia kuingia kwenye penzi kwa mara ya kwanza halafu ukapenda kikwelikweli.

Ilinitokea tena nikiwa na miaka 18..nilimpenda sana huyu binti, sidhani kama kuna saa ilipita bila kumuwaza….kibaya zaidi mawazo kumhusu yeye yalikuwa negative tu: “Hivi sasa hivi yuko wapi? Kuna mtu yuko naye nini? mbona simuoni kama ilivyo kawaida.

Kiukweli hata yeye alinipenda sana…….na kuna wakati aliniambia naye huwaza hivyohivyo. Nakumbuka nilivyokuwa nakwenda nyumbani kwao mida ya usiku “kumuiba” tena kwa ujasiri mkubwa nikishiriana na rafiki yangu.
Inakuwa hivi: Mida ya mchana tunapanga mchezo mzima…Usiku mida ya saa 4 nazuka kwao nyuma ya nyumba..na kumtuma kijana mmoja mdogomdogo hivi (Sasa hivi kakua..humtumi tena).. halafu yeye anaingia kwao na binti na kumpiga konye.

Binti anajiandaa kabisa akisubiri Wazazi na ndugu walale (Yeye alikuwa analala chumba kimoja na dada yake ambaye tulikuwa tunashibana). Halafu mida ya saa tano anatoroka kupitia mlango wa uwani..Dada anaufunga!
Sijapata kupenda kama nilivyowahi kupenda wakati ule. Kuna siku nilimuona na jamaa mmoja hivi wakipiga story kwa muda mrefu sana….Nikajua nimeibiwa, wacha nimtandike na barua ndefu ya talaka huku moyo unadunda……..Nilivyompa nikabaki najilaumu “Hivi akikubali tuachane kweli nitahimili”?

Saa 8 saa 9 saa 10 hakuna dalili yeyote ya majibu ya kukubali kuvunja uhusianao au kuomba msamaha….Dah!! Si Roho wala mwili haukuwa wangu, Jasho linanitoka chakula hakipiti kila mtu anajua nimepata maradhi ya ghafla…Sitasahau……….Ilipofika saa 12 akamtuma mtu na barua ya kuomba msamaha……..Nilifurahi hakuna mfano…
Unajua nilimjibu vipi……..USIRUDIE TENA SIPENDI TABIA HII, MPENZI HALAFU UJE TUONANE.

Aaah penzi la kwanza kwenye utineja lione hivyo hivyo!!!!!!!!!!

Nawasilisha nanyi nipeni uzoefu wenu.
 
afu ilikuwa ni dry tu no kinga...

Mara ya kwanza tulikuwa waangalifu sana kwenye kinga (nilikuwa napenda kusoma habari za ukimwi sana na kujenga uelewa)....Lakini baadaye mara moja moja tunapiga akapela
 
jitaarishe na mtoto wako wa kike kuibiwa kama ulivyoiba wa mwenzako,nadhani litakufurahisha penzi la kwanza la binti yako,na haswa akitoroshwa mlango wa nyuma,majira ya saa 5 usiku,bila ya wewe kuwa na taarifa yoyote!
 
mimi na mpenzi kwenye kahawa na migomba usiku bila kuogopa kulalia nyoka,anatandika kanga

Duh...Mimi saa sita saa saba za usiku namrudisha binti kwao..tena na umri ule bila woga....Ila kuna wakati nilipigwa kabali wakachukua buku mbili
 
jitaarishe na mtoto wako wa kike kuibiwa kama ulivyoiba wa mwenzako,nadhani litakufurahisha penzi la kwanza la binti yako,na haswa akitoroshwa mlango wa nyuma,majira ya saa 5 usiku,bila ya wewe kuwa na taarifa yoyote!

Tushukuru pia kuwa na wewe hukuwahi kuiba wala kuibiwa...na kwamba uliye naye umefunga naye ndoa na ni mpenzi wako wa kwanza!
 
huyo sister wa demu wako inaonekana nae alikua mzoefu...yaan hivi hivi anamtoa mdogo wake usiku kwenda kumomonyoa amri ya sita.
 
huyo sister wa demu wako inaonekana nae alikua mzoefu...yaan hivi hivi anamtoa mdogo wake usiku kwenda kumomonyoa amri ya sita.

Ujana tu! pili walikuwa hawajapishana sana umri.. haya yanatokea sana...!
 
Ujana tu! pili walikuwa hawajapishana sana umri.. haya yanatokea sana...!

kaka najaribu kufikiria wewe ulikua 18, na bila shaka ulikua umemzidi umri huyo kigoli...sasa najiuliza dada gani anayemruhusu mtoto mdogo chini ya 18 kupelekwa exile
 
kaka najaribu kufikiria wewe ulikua 18, na bila shaka ulikua umemzidi umri huyo kigoli...sasa najiuliza dada gani anayemruhusu mtoto mdogo chini ya 18 kupelekwa exile

Binti alikuwa 17yrs umri wa "Lulu"..Dada mtu ana 20yrs............Imeshakuwa historia..tulikuwa tunafanya makosa - ndio, lakini emotions za mapenzi sometimes zinahitaji "speed gavana"...nani wa kuzifunga? Wazazi wangapi wanaongea na watoto wao kuhusu mabadiliko katika maumbile yao na complications zake!
 
mi sijui nilikuwa form two hata miaka sikumbuki ila..beki tatu ndo alinitega ..dah nikajipigia mzigo wazazi walivyolala...and the life has neve been the same
 
mi sijui nilikuwa form two hata miaka sikumbuki ila..beki tatu ndo alinitega ..dah nikajipigia mzigo wazazi walivyolala...and the life has neve been the same

Ukampenda au ndio ulipoza tu
 
dah akaniharibu koz baada ya hapo sikuwahi kupenda tenaa hadi leo..
 
Back
Top Bottom