Penny: Diamond hana uwezo wa kumpa mwanamke mimba

warumi

R I P
May 6, 2013
16,273
18,379
BAADA ya kudaiwa na staa wa Bongo Fleva , Nasibu Abdul ' Diamond Platnumz' kuwa alichoropoa mimba zake mbili , mtangazaji wa Radio E - FM, Penniel Mungilwa ' Penny ' ameibuka na kujibu mapigo kwamba mwanamuziki huyo hana uwezo wa kumpa mwanamke mimba, Risasi linakupa mchapo kamili

CHANZO CHA YOTE
Akizungumza na GlobalTV Online kwenye ofisi za gazeti hili Bamaga - Mwenge jijini Dar , hivi karibuni, Diamond alifunguka : "Nilimpa (Penny ) mimba ya kwanza , sikuamini ikabidi twende naye hospitalini tukapime , akaambiwa anayo… nikafurahi nikampiga na ndinga (gari) mpya siku hiyohiyo, nikamwambia mama tulia unizalie mwanangu . "Sikukaa sana akaniletea maneno… oooh mara hivi mara vile … eti imetoka . Nikasema poa, labda haikuwa riziki. Nikampa ya pili, nayo pia akatoa . Nikasema bora niachane naye na huo ndiyo ukawa mwisho wa mimi na Penny . "

KILICHOFUATA
Baada ya habari hiyo kuchapishwa kwenye gazeti ndugu la hili, Amani wiki iliyopita , Penny alijibu mapigo na kudai kwamba ni kweli staa huyo alikuwa akimridhisha kimapenzi lakini hakuwa na uwezo wa kumpachika mimba kama alivyodai . " Diamond ni mwanaume kama wanaume wengine lakini hana uwezo wa kumpa mwanamke mimba , muulizeni vizuri tatizo ni nini, " alisema Penny .

DIAMOND ANASEMAJE ?

Alipofikishiwa taarifa hizo , Diamond hakutaka kufunguka kwa madai kwamba kuna vitu huwa hataki kuvisema kwa kuwa ni mtoto wa kiume na huwa
anahifadhi siri nyingi za wanawake .

DIAMOND ANA TATIZO ?

Kwa mujibu wa Penny ni kwamba alikuwa akimridhisha vizuri kimapenzi hivyo hana tatizo la nguvu za kiume isipokuwa hawezi kumpa mwanamke kibendi .

KITAALAM ZAIDI
Akizungumzia tatizo la Diamond ( kama maelezo ya Penny ni kweli ) , mtaalam wa masula ya tiba ya uzazi wa gazeti hili (jina tunalo) alisema kuwa mwanaume anaweza kumridhisha vizuri mwanamke wanapokuwa kitandani isipokuwa akashindwa kumpa ujauzito.

"Tatizo la kutopata ujauzito , maana yake mume na mke walio katika uhusiano wa kutafuta mtoto ndani ya mwaka mmoja, lakini wameshindwa .

"Inaweza ikawa zaidi ya mwaka mmoja lakini wastani wa kiwango cha chini ni mwaka mmoja . " Ni tatizo kubwa katika jamii kwani kila mmoja anataka afikie malengo ya kuwa na familia kama anavyotaka Diamond . "Mwanamke na mwanaume wote wanahusika katika tatizo hili japo mara nyingi huonekana ni la mwanamke.

Credit: GPL

 
Yawezekana kweli huyu dogo TASA wanawake wote aliyotembea nao alishindwa kulenga?


Haters wapo na bado wataendelea kuwepo! The sababu kubwa ni kwamba, kuna wengine wamezaliwa nafsi zao zikiwa zimekubikwa na inda... hawa ada yao ni uzushi na katu hawaishiwi sababu ili mradi tu hinda zao zipate pa kusimamia! Nadhani ni mfuatiliaji wa CD za kila leo zinazotengenezwa na watu hawa ili mradi tu... single ya karibuni ni kwamba Diamond hana uwezo wa kuzaa... wengine wanaosema haya ni watu wazima na akili zao! Hinda na husuda hii ya kuzaliwa nayo huku ikipapaliwa na stress za maisha, inawafanya watu hawa washindwe kujiuliza; ikiwa Chibu hana uwezo wa kupiga mimba... hao akina Wema, Jokate, Penny, Wolper wameanza kumegwa lini na wanaume wangapi na kote huko wameacha mimba ngapi!!!!
 
kama dai tasa basi hukutana na matasa ya kike, unless uniambie mwanamke aliyetoka kwa dai bilabila sasa in her new uhuwiano amepata mimba.
Penny na Wema wote walipigwa mimba wakatoa!!haya ni maneno ya mkosaji...wema kipindi kile alijianika gazeti la uwazi anakula mlenda,alipotoka sauzi na dai kipindi kile episode one akasema alipigwa mpaka ikatoka!!Huyo penny naye aliitwa beb mama akachoropoa!!Tatizo uropokaji wao
 
Penny na Wema wote walipigwa mimba wakatoa!!haya ni maneno ya mkosaji...wema kipindi kile alijianika gazeti la uwazi anakula mlenda,alipotoka sauzi na dai kipindi kile episode one akasema alipigwa mpaka ikatoka!!Huyo penny naye aliitwa beb mama akachoropoa!!Tatizo uropokaji wao
tatizo kila wakiigiza scene mpya wanasahau previous scene waliigiza nini? sasa wanapokutana na vichwa vya wambeya sisi tunaojua kutunza kumbukumbu ni full kuumbuka.
 
kama dai tasa basi hukutana na matasa ya kike, unless uniambie mwanamke aliyetoka kwa dai bilabila sasa in her new uhuwiano amepata mimba.

Nlitaka kuuliza huyo Peny alizaaga lini? Maneno haya angeyasema WiFi Zari ningeamini...

Kuachwa kubaya, ye ajiliwaze tyuu na shoga ake..
 
Kwa jinsi ule mdomo unavyoonekana mkubwa ni maana nusu ya uso wake ni mdomo, kwa hiyo ni wazi mbegu za Daimond ni nyepesi mno na haziwezi kuogelea kufika kwenye ovary. Muangalie hata kiuno ni kidogo, lakini anaonekana shaft yake ni kubwa kwa vile nyama zimekwenda huko kwenye dushelele. Lakini dushelele la hivyo halina uwezo wa kutoa mbegu zenye nguvu ya kusafiri. Kwa hiyo ni kama dildo tu
 
Nlitaka kuuliza huyo Peny alizaaga lini? Maneno haya angeyasema WiFi Zari ningeamini...

Kuachwa kubaya, ye ajiliwaze tyuu na shoga ake..

Labda huko kwengine wanatumia kinga dai alitangaza huwa hatumii kinga anasaka mtoto
 
Mastaa wetu wengi ni wapuuzi sana wanapofikia kuzungumza mambo ya ma-ex wao; wote Diamond na Penny ni wapuuzi. Nadhani hapa ninampa credit Wema tu ambaye hakutaka kujibizana, ingawa Jokate hakusema lolote kuhusu uhusiano wake na Diamaond wa zamani, alijibu kwa kumtukana Diamond, jambo ambalo halikuwa la lazima. Na iwapo Penny anadhani anasema ukweli kuwa Diamond hawezi kumpa mwanamke yeyote ujauzito je sasa atajibu nini kuhusu haya yaliyoandikwa kwenye mitandao hii ya Uganda ambao inaripotiwa kuwa Diamond tayari keshampa ujauzito Zari:


Revealing! Zari Hassan Pregnant! Diamond Platnumz Responsible. Allegedly...... - UgandaExposed

Zari pregnant for Diamond?

BLOCKBUSTER! Worried Zari Reportedly Expecting, er, Sixth Child After Missing Monthly Periods
 
Back
Top Bottom