Penile Peary Papules

hovyohovyo

JF-Expert Member
Jul 8, 2012
547
157
JF Doctor. Hivi hivi vipele vinavyoitwa kwa kitaalam Penile Peary Papules (hutokea ktk shina la kichwa cha uume), haviumi, haviwashi, hutokana na nini? Na ni ipi njia ya kuviondoa?. Kuna jamaa amekuwa navyo na akawa anadhani ni std, lakini alipomwona daktari akaambiwa hiyo inaitwa ppp na si ugonjwa wa zinaa na hupona vyenyewe. akaambiwa mara nyingi huwapata wanaume kuanzia miaka 30. Inaonekana lakini, imempunguzia hali ya kujiamini ktk mahusiano na mpenzi wake. Katika kuhangaika, ameniomba nimtafutie/nimuulizie dawa hapa Cape Town ikiwezekana nimnunulie kabisa. Ushauri tafadhali.
 
Back
Top Bottom