Peniela (Story ya kijasusi)

0655428085 piga muuzaji wa vitabu vya hussen tuwa huyo ni wajikoni kbs ukikosa hapo huwezi pata sehem nyingine
poa mkuu asante mtuhumiwa niliisoma kwenye gazeti la kiu jamaa akesema atatoa kitabu lakini akatangulia kutoa kitabu cha mkimbizi shukurani sana kama hii atafanikisha kupata hicho kitabu cha mtuhumiwa
 
Nimegundua Madhara makubwa ambayo yamesababishwa na *USALITI* wa Elibariki .
Inavyoonekana *Lege* kuna namna alikua amejiunganishia mawasiliano na akaweza kupata habari zote kwa Wakati . Sasa kuzimwa kwa simu na Saa ya Kigamba na yeye sasa haoni kinachoendelea!
 
Ile Story ya Danny hapa inasubiri sana. Yule mtunzi Wa Story ya Dany ni mvivu sana kufikirisha kichwa mpaka kaamua kumpa Huyo Dany uwezo Wa 'kimungu' ili kufanikiwa.
Hakuna kitu cha kujifunza kwenye ile story.
Ila huyu jamaa nampa saluti za mikono miwili.

Hivi hile story ya dani ilishia wapi nilipataga kwenye group za whatsapp sime ilishia njiani
 
mkuu huwezi pata vitabu vya willy gamba .vitabu vyake ni kama LUPIA na imani zake ukiwa nacho yakupasa ukihifadhi haswaa. ukiazimisha tuu hakirudi. story za willy gamba nyingi zipo soft copy

Mkuu nakufatilia kimya kimya na ninakukubali kwa moyo wako ambao hauna kinyongo katika kuachilia maarifa kwa wengine. Naomba Kama utaweza mkuu unitumie soft copy ya vitabu vya Willy gamba.. Natanguliza shukrani.
 
Back
Top Bottom