Peniela (Story ya kijasusi)

Nimegundua Madhara makubwa ambayo yamesababishwa na *USALITI* wa Elibariki .
Inavyoonekana *Lege* kuna namna alikua amejiunganishia mawasiliano na akaweza kupata habari zote kwa Wakati . Sasa kuzimwa kwa simu na Saa ya Kigamba na yeye sasa haoni kinachoendelea!
hahaha nisha toa taarifa mkuu kuwa baada ya kama 2 weeks mambo yatakuwa mswano.ww tulia vuta subila
 
Kwenye msshimo ya mfalme Suleiman kuna mtu anaitwa Umbopa. Huyu jamaa ndiye aliyevuka maji ya shingo bila ya Pu,mbu kulowa. Watu huwa wanamkosea na kumchanganya na Umsolopagaazi Mwana wa Makumazani, akeshaye usiku asiyepitwa na jambo.
Kuvuka maji ya shingo bila kende kuloa wananogesha hadithi tu ila kiuhalisia haiwezekani na akeshae hodari mwepesi huyo ni makumazahn ndio maana ya hilo neno (makumazahn )
 
Angekiangamizaje mkuu?

Maana kwa mujibu wa mtunzi, mara baada ya kukiachia toka sehemu kilipofungiwa, ndipo kinasambaza homa hiyo. Kwahiyo kwa kufuata maelekezo hayo maana yake ili kukiua, unatakiwa kutafuta kanuni zilizotumika kukitengeneza then utafute namna ya kukitengua.....

Kwa swali lako, Unataka kuniambia John alikuwa na Kanuni zilizotumika kutengeneza Aby?

BACK TANGANYIKA
Lugha ya picha
 
Back
Top Bottom