PISTO LERO
JF-Expert Member
- Mar 8, 2011
- 2,819
- 1,454
Ni wazi sasa pengo lako
limejithiharisha wazi,nakumbuka kwenye chaguzi wa igunga tulipata habari kwa wakati na uhakika.kitu ambacho kwa sasa imeonekana ni vigumu kwa baadhi ya makamanda walioko huko tangu kampeni hizi za arumeru zimeanza,ukizingatia kuwa makamanda karibu wote walioko huko ni wanachama wa jf lakini hakuna hata mmoja aliye jitokeza hapa hata japo mara moja kutuatia habari za uhakika kutoka chamani huku wakijua kabisa kuwa kwa wana chadema jf ni zaidi ya chombo chetu cha habari haswa ukizingatia kuwa vyombo vingine vya habari vilivyotutenga kana kwamba ukiwa mwanachama wa chadema basi wewe siraia wa tanzania,tumetelekezwa kama watoto yatima tukiachiwa kutafuta habari wenyewe na hata tukizipata hazina uhakika kama ni sahihi au laa.ndugu yetu na dada yetu wana chama na wapenzi wako tutakuku mbuka daima.
PUMZIKA KWA AMANI DADA REGIA MTEMA.