PENDO MAGALUDA Ametutoka

Status
Not open for further replies.

Gembe

JF-Expert Member
Sep 25, 2007
2,483
159
Heshima Mbele,

Kam,a Mtakumbuka kipindi Flani Mkulu FMES(wazee wasauti za umeme) alieleza khali ya mgonjwa pendo magaruda.Kwa taarifa ambzo nimezipata toka kwa mmoja wa watu wa karibu wa familia hiyo ni kwmaba amefariki Dunia usiku wa kuamkia leo kwa saa za Tanzania.

Nitawapa Update Msiba uko wapi mara baada ya kuwasiliana na wanafamilia wa familia hiyo

Gembe.
 
Heshima Mbele,

Kam,a Mtakumbuka kipindi Flani Mkulu FMES(wazee wasauti za umeme) alieleza khali ya mgonjwa pendo magaruda.Kwa taarifa ambzo nimezipata toka kwa mmoja wa watu wa karibu wa familia hiyo ni kwmaba amefariki Dunia usiku wa kuamkia leo kwa saa za Tanzania.

Nitawapa Update Msiba uko wapi mara baada ya kuwasiliana na wanafamilia wa familia hiyo

Gembe.

...Mwenyezi mungu amjaalie mapumziko mema, ametutangulia nasi tutafuatia. Kifo ni Ukumbusho wa safari isoepukika. Wafiwa, Mwenyezi mungu awazidishie Nguvu na Imani katika kipindi hiki kigumu. Amen
 
RIP,

You will alwayz be rembered by us. May your soul rest in eternal peace.Amen
 
RIP Pendo. "Hakika sisi ni wa Mwenyezi Mungu, na hakika kwake tutarejea", muda na siku ya kurejea ndio hatujui, poleni wafiwa na Mola awape nguvu, amani na upendo katika kipindi hiki tete.
 
Mkulu Gembe,

Heshima mbele sana, nimepata habari hizo jana usiku nikiwa safarini lakini nimekua na mawasiliano ya kila siku na mume wa marehemu ambaye alini-alert toka majuzi kuwa siku imekaribia,

anyways tunamuombea kwa mungu marehemu Pendo ambaye nilimuona last fews weeks akiwa bado hai, Mungu amuweke mahali pema na pia awafariji familia nzima na hasa watoto wadogo aliowaacha.

Ninategemea kurudi nyumbani in the next two days ndio nitajua hasa kitakachofanyika next, otherwise Mkulu Gembe, tupo pamoja mkuu respect!
 
Wakuu Gembe, FM ES na wengineo,
naomba kuuliza, hivi huyu Marehemu Pendo, mmewe Abel Magaluda ni ndugu yake Magobe Magaluda?.

Kwa mara nyingine Mola awape nguvu wafiwa.
 
She was kindhearted and had a tough battle towards the end of her journey. May God console the husband and the boys in this difficult time. Keep us posted.
 
Rest in Peace Pendo.

Bwana Abel Magaluda amefiwa na mkewe mpenzi Mrs. Pendo Magaluda amefariki dunia katika hospitali ya Rochester, New York, tarehe 13 Februari 2009 saa mbili na nusu usiku.

Kutoa heshima za mwisho:
Rochester: Jumatatu (16 Februari 2009) - kutakuwa na utaratibu wa kutoa heshima za mwisho kwa Marehemu Pendo Magaluda kuanzia saa nane mchana hadi saa kumi jioni.
Mahali: Rochester Memorial Chapel 1210 Cover Road, Rochester Telephone: 585-797-3553
New York: Ubalozi wa Tanzania, New York utaendelea kuwapa taarifa lini na wapi heshima za mwisho zitatolewa kabla ya kusafirisha mwili Tanzania mara mipango ya kusafirisha itakapokamilika.

Michango
Michango ya hali na mali inaombwa ili kuweza kulipia gharama zifuatazo:
(1) tiketi ya kurejea nyumbani Tanzania, Mama Mlezi wa Marehemu (2) gharama za kusafirisha personal effects za Marehemu (3) gharama za funeral home kwa siku mbili hapa New York wakati wa kusubiri safari.
Unaweza kutuma Mchango wako kupitia
HSBC BANK routing
No:022000020.

ACCOUNT NO: 526410230 yenye jina la
MAGOBE MAGALUDA NA PENDO MAGALUDA.
Kwa taarifa zaidi unaweza kuwasiliana wasiliana na
Bwana Abel Magaluda (Mume wa Marehemu) simu namba 1 347 238 9250, pia wafuatao:
Mr. Amos Shindika TEL -1 203 300 4122 na
Mr. William Malecela TEL-1 914 664 1518.
Tunaomba tushirikiane na familia ya Bwana Abel Magaluda katika kipindi hiki kigumu. Tafadhali watangazie na Watanzania wengine (tangazo toka Michuzi).
 
Last edited by a moderator:
Jamani dada Pendo umetuacha!Poleni sana familia yote pole Dr Ibambasi kwa kuondokewa na binti yako!Mpuya,Dotto,Catherine kulwa na Mat poleni kwa kuondokewa na dada yenu!Mungu alimtoa na sasa amemtwaa JINA LA BWANA LIBARIKIWE!
 
Mwenyezi Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi na awape nguvu, faraja na uvumilivu familia, ndugu, jamaa na marafiki wa marehemu katika kipindi hiki kigumu kwao~AMEN
 
Ndugu na marafiki wapate amani na kuliwazika katika kipindi hiki kigumu na mbeleni.
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom