Pendekezo

Judgement

JF-Expert Member
Nov 13, 2011
10,327
4,779
Kufuatia hivi majuzi (Kagame Cup)
Yule Mheshimiwa aitwae "Mnyama wa Msimbazi" John Boko wa Azam Kum'BOKOA mnyama bao za kutosha, na hivyo kumuondoa mnyama out of the route .
Napendekeza huyu badala ya kuitwa "Mnyama wa Msimbazi " sasa tumwite "MREMBO WA MSIMBAZI ? "
Hoja imetolewa na imeungwa mkono! Wanao'afiki waseme .......
 
Back
Top Bottom