Pendekezo:waliotoa vibali vya ujenzi wa jengo la TANESCO ubungo wakamatwe.

matongo manawa

JF-Expert Member
Apr 6, 2011
336
79
Akiongea kwa mbwembwe Leo jioni bungeni Waziri Pombe amesema ofisi za TANESCO Ubunge zimejengwa
kktk hifadhi ya barabara.Nimejiuliza sana jinsi hawa Magamba wanavyotula akili.Mana kama jengo hilo lilijengwa ktk hifadhi ya barara limejengwa kimakosa na kunawatu waliotoa vibali wapo wanakula nchi na pesa zilizotumika nizawalala hoi.

Kuvunja jengo hilo ni hasara na nikuzidisha mzigo kwa walala hoi,je?kwanini waliotoa vibali vya ujenzi huo wasikamatwe
na wachukuliwe hatua za kisheria kwa kuliingizia Taifa hasara?
 
Back
Top Bottom