Elections 2010 Pendekezo. Tumjenge dk slaa kabla 2015

Malaria Sugu

JF-Expert Member
Jul 7, 2009
2,653
264
Uchaguzi wa Tanzania hasa kwa wapinzani hauminiki.
1995 Mrema alikuwa ni mmoja wa viongozi waliotikisa ccm. alipata kura nyingi kuliko mgombea mwengine wa Upinzani. hadi leo record yake haijavunjwa.
2000 Mrema alimwaga vibaya na ccm. nafasi yake kuchukuliwa na LIPUMBA.
2010 dk slaa akamuangusha Lipumba, Dk slaa ameweka record ya kuingiza wabunge wengi kupitia Chadema. lkn pia ameshusha ushindi wa Jk kutka 80 hadi 63.
ndio kiongozi alevuruga ccm kutukana na matokeo wasiotegemea ya CCM. hadi leo CCM hawatambuani .

2015 Uchaguzi unakarabia. CCM wanatamani dk sllaa apate mapinduzi kama akina mrema na LIpumba.
Jee lini la kumjenga sasa dk slaa kabla ili 2015 awe ngome kuu ya Upinzani?
 
Hauwezi kung'arisha Almasi! Inang'aa yenyewe.DR SLAA TUNAMHITAJI,TUNAMWAMINI!
 
Jambo kubwa linalotakiwa ni kuwaelimisha wale wapnzani mamluki kama Mzray, dovu.twa, n.k watulze ball ili mchuano uwe mwepesi kati ya slaa (cdm) na hao na magamba hapo ndpo anguko la magamba linatakapokuwa.
 
Dr. slaa ni jamaa unayeweza kumwamini, moyo wake umejaa ukweli mtupu. He is a good guy and can be our second father of this national. We must use him for the better of our national. Mungu atatushangaa kwamba alitupa kiongozi lakini hatukumpa nafasi .
 
Back
Top Bottom