Pendekezo: Tanzania iweke Balozi Uholanzi!

Kuna kipindi pale nilienda nikakuta kuna mzungu kwenye ofsi binafsi zake ndiye kosulati huyo? ama wana ofsi zingine?

Sijawahifika huko. The Citizen linasema kuwa: All is not lost, though, as the government still owns a house in Holland, which is in the care of the honorary consul. "Our house in Holland brings at least 8,040 Euros to the government every year and, at the moment, we have a honorary consul officer who reports to our embassy office in Brussels," he [Katibu Mkuu wa Wizara husika] explained.

Au ni habari zile zile za magazeti yetu?
 
Welcome

Welcome to the website of the Consulate of the United Republic of Tanzania in The Netherlands.

The United Republic of Tanzania in the Netherlands is represented by the Embassy of Tanzania in Belgium and the consulate in the Netherlands .

The Consulate has the following main tasks:

* The provision of visas to individuals travelling to Tanzania
* The issuance and renewal of travel documents
* The representation of economic and business interests of Tanzania
* The promotion of social and cultural contacts between Tanzania and the Netherlands
* The provision of consular assistance to Tanzanian nationals living in the Netherlands

The economic interests of Tanzania in the Netherlands includes tourism. The consulate works on promoting tourism as part of this economic drive. The social and cultural contacts go hand in hand with the promotion of developmental activities, both large and small-scale undertaking.

Principally, the Consulate offers the following services:

* Provision of ordinary visas (see "Visa")
* Provision of related travel and tourist information (see "Country Information")
* Issuance and renewal of travel documents for Tanzanians in the Netherlands (see "Watanzania")
* Support of the Tanzanian community in the Netherlands (see "Watanzania")
* Providing information for business transactions and/or investment in Tanzania
* Supporting initiatives in the field of development cooperation (see "Cooperation")
* Facilitation of television and film projects that contribute to positive publicity of Tanzania in the Netherlands (see also "Other licenses")
* Introducing Dutch companies, institutions and individuals to relevant Tanzanian public bodies (see "Other Documents")
* Issuance of written statements (see "Other Documents")

Source: welkom op www.tanzania.nl
 
  • Thanks
Reactions: Taz
Kuna kipindi pale nilienda nikakuta kuna mzungu kwenye ofsi binafsi zake ndiye kosulati huyo? ama wana ofsi zingine?
Huyo huyo ndie anaripoti kwenye ubalozi wa TZ in Belgium nadhani.
 
  • Thanks
Reactions: EMT
Huyo huyo ndie anaripoti kwenye ubalozi wa TZ in Belgium nadhani.

[h=1]Message from the Ambassador[/h]
"I am delighted to welcome you to the website of the Embassy of the United Republic of Tanzania based in Brussels. This Embassy is accredited to the Kingdom of Belgium, the Kingdom of Netherlands, the Grand Duchy of Luxembourg and the European Union."
Tanzania Embassy

Vyombo vyetu vya habari wanashindwa hata kufanya kautafiti? Au walikuwa wanamaanisha kuwa hiyo consular ndio imefungwa?
 
Kuna kipindi pale nilienda nikakuta kuna mzungu kwenye ofsi binafsi zake ndiye kosulati huyo? ama wana ofsi zingine?

Huyo huyo mzungu na hamna ubalozi wa Tanzania huko Holland na sijui kwa nini anaendesha ile ofisi...Mpaka uende Bruxelles, BE!!
Nchi ya ajabu sana Tz.
 
  • Thanks
Reactions: EMT
Jamani click hiyo link, harafu kushoto kwake kuna nyumba i click hiyo nyumba subiri kidogo i load, hapo ndo ubalozi wa Tanzania , kwi kwi kwi. Si utani.

H.A. Van Karnebeeklaan 46 Amsterdam 1181 - Google Maps

Mbona address zinatofautiana? Which is which

Address:Parallelweg Zuid 215
Postal code & City:2914 LE Nieuwerkerk aan den IJssel
Phone No.:0180-320939

Fax No:0180-319158
Opening hours:monday to friday from 10.00 a.m. untill 13.00 pm.
E-mail address:

Source: welkom op www.tanzania.nl
 
Haya sasa!..
The country is in its final step to collapse!
Save us or Lord!

siyo mbaya ili tujipange na kuanza upya baada ya kumwandika hadharani ambaye si mwingine ni ccm na viongozi wake kwa ujumla ndo inaifilisi Tz yetu nzuri
 
wajamaa wanachekesha kweli, kweli kweli eti nyumba inaleta euro 8000 kwa mwezi. Kwi kwi kwi kwi kwi hiyo ni nyumba ama nini? Maana mie napanga na ishi kama njiwa lakini nalipa zaidi ya hiyo pesa kwa mwaka. Hebu wajameni tusaidiane ktk swala hilo unajua lina utata sana.
 
  • Thanks
Reactions: EMT
Message from the Ambassador

"I am delighted to welcome you to the website of the Embassy of the United Republic of Tanzania based in Brussels. This Embassy is accredited to the Kingdom of Belgium, the Kingdom of Netherlands, the Grand Duchy of Luxembourg and the European Union."
Tanzania Embassy

Vyombo vyetu vya habari wanashindwa hata kufanya kautafiti? Au walikuwa wanamaanisha kuwa hiyo consular ndio imefungwa?
Nimekusoma mkuu. Si unajua journalism huku kwetu bado kabisa? Mtu mmoja anaandika, wengine wanacopy paste. kama huyo wakwanza alikosea -which is human- wengine wote wana sambaza hilo kosa bila kulichunguza -which is highly unprofessional.
 
  • Thanks
Reactions: EMT
wajamaa wanachekesha kweli, kweli kweli eti nyumba inaleta euro 8000 kwa mwezi. Kwi kwi kwi kwi kwi hiyo ni nyumba ama nini? Maana mie napanga na ishi kama njiwa lakini nalipa zaidi ya hiyo pesa kwa mwaka. Hebu wajameni tusaidiane ktk swala hilo unajua lina utata sana.
Sio kwa mwezi mkuu, ni kwa mwaka! Na ukichunguza utkuta kuna ndugu ya fisadi kapewa akae tu na alipe hivyo vijisenti per annum!
 
Mbona address zinatofautiana? Which is which

Address:Parallelweg Zuid 215
Postal code & City:2914 LE Nieuwerkerk aan den IJssel
Phone No.:0180-320939

Fax No:0180-319158
Opening hours:monday to friday from 10.00 a.m. untill 13.00 pm.
E-mail address:

Source: welkom op www.tanzania.nl

Yawezekana wamebadirisha. Lakini wakati naenda ilikuwa kwenye nyumba hiyo maana ni mzungu anabiashara zake ndani ndo kuna konsulati.
 
  • Thanks
Reactions: EMT
wajamaa wanachekesha kweli, kweli kweli eti nyumba inaleta euro 8000 kwa mwezi. Kwi kwi kwi kwi kwi hiyo ni nyumba ama nini? Maana mie napanga na ishi kama njiwa lakini nalipa zaidi ya hiyo pesa kwa mwaka. Hebu wajameni tusaidiane ktk swala hilo unajua lina utata sana.

Nafikiri ni kwa mwaka mkuu
 
Address Tanzanian Consulate in Amsterdam, the Netherlands
H.A. Van Karnebeeklaan 46
1181 XH Amstelveen
Netherlands

Telephone(+31) 20 6416060

Telefax(+31) 31 1803 19158

E-mail

Website

Office Hours

Head of Mission, Consul
 
  • Thanks
Reactions: EMT
Hili ndo janga la kitaifa tulilo onywa 2010 lakini tukakaidi wosia, na bado!!!????
 
Back
Top Bottom