Pendekezo: SLAA APEWE UKUU WA WILAYA?

natoa angalizo tena kwa ninyi umma wa jf, the great thinkers, msijibu wala kuchangia hoja za huyu jkwaukweli... Hoja zake zimekaa kiuchokozi na zinaweza kuzaa uvunjifu wa amani.. Hana akili, na kubishana nae ni kama kumpigia mbuzi gitaa acheze mziki, haiwezekani... Ndo sawa sawa na kubishana na huyu mnafiki na mzandiki... Hawezi kutuelewa kamwe!!!!!
 
sasa mkuu msanifu e.m...hadi kuamua kukoment on dc ful coment pia nawe unachangia kumpa kicha huyu mbayuwayu...nahili liende kwanyny wengne wote....
 
11_09_hmaerh.jpg View attachment 22413
 
sasa mkuu msanifu e.m...hadi kuamua kukoment on dc ful coment pia nawe unachangia kumpa kicha huyu mbayuwayu...nahili liende kwanyny wengne wote....

nimetoa angalizo,,, sijachangia mada, wewe nawe ndo walewale au??
 
We jimmypaka c nakuonaga unatoa point za maana kabisa umekuwaje leo.
Umekubali kuwa intimidated na unaintimidate walewale tu,tofauti kila mtu anavutia kwake
 
Ili kutibu majeraha ya Dr Slaa na wanachadema napendekeza DR Kikwete kumpa Ukuu wa wilaya Dr Slaa

Wewe unapendekeza apewe cheo gani?

Acha ujinga! Uliona wapi rais wa nchi anakuwa mkuu wa wilaya? Kwa mujibu wa kura za wananchi Dr. Slaa ndiye rais lakini kwa mujibu wa sheria ya uchaguzi, kikwete ndiye rais.
 
Jamani post nyingine tunatakiwa tuzisusie hata kuchangia!:nono:
 
Siku zaja ambapo Mwana wa Mtu atawasaga na kuwapepeta wote waliompora Dr. Slaa ushindi wake. Dr. Slaa ni Rais, hahitaji cheo kingine. Haki imecheleweshwa tu.
 
Back
Top Bottom