Pendekezo: SLAA amrithi SUMARI Arumeru!

Nafikiri umekwisha msikia aliyetangaza nia ya kugombea Jimbo hilo kwa tiketi ya CHADEMA.

SIDHANI kama Dr Slaa ni mroho wa madaraka kihivyo, kwa amsukume dogo kando aingie yeye. Hiyo ni tabia ya kina Mrema, A.L. et al.
kujitangaza mbali na kupitishwa na chama kama mgombea mbali...kujitangaza ni kutangaza nia tu,wengi hufanya hivyo lakini mwisho wasiku chama humteua mmoja tu kugombea,muda bado upo kama mzee wangu slaa unanisoma hapa fikiria mara mbili hii kitu kwa maslahi ya taifa acha maslahi ya hawa jamaa wapotoshaji hapa,wanaokuogopa ukiingia bungeni utabidili muelekeo wa akmbi ya upinzani pale mjengoni ambayo imelega lega.
 
Agombee sawa, asigombee sawa, alimkataa JK sio Rais baadae naskia kaenda kunywa nae chai pale magogoni, Nyerere alikufa akiamini katika falsafa zake za azimio la Arusha na Siasa ya Ujamaa na kujitegemea:hat:
 
ikatokea Dr.akagombea arumeru najitoa kwnye chama haraka siwezi kuja aibika huko naona,nakama slaa atafanya hvyo ni mroho wa madaraka.aashe ujinga aende ikulu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom