Pendekezo: RPC Kamuhanda (Ruvuma) ajiuzulu kwa kulea majambazi; kauli yake ni ya utata aombe radhi!

[/COLOR]
Hapo kwenye red nadhani imeshapata yaliyojiri.soma thread zote zinazohusu songea leo utaona kilichotokea.Nilichoandika ndicho kimetokea.Serikali yako ina pwaya


huwezi kuitaja serikali ukajiondoa wewe. huwezi kulalamika wauaji hao ambao mnafaham wanatoka wapi na wanapatikana wapi, unakimbilia kulaumu mamlaka zinazohusika.
 
Inaonekana una bifu na kamanda wako.

1. Unasema leo lazima mpate taarifa ya mtu mwingine kufa. Kwa hiyo wewe unauhakika lazima mtu atakufa. kama unajua hilo, umeonesha ushirikiano gani kwa jeshi kudhibiti mauaji hayo?
2. Kwa nini jeshi lisikutie mbaroni kwa kushiriki uuaji, kwani unajua lini mtu atakufa na lini mtu hatakufa?
3. Umeshirikiana vipi na UHAMIAJI kudhibiti kuingia na kutoka kwa watu ambao sio watanzania?

kabla hujatoa kibanzi kwenye jicho la mwenzio, to boriti kwenye jicho lako

kuwa na machungu na uhai wa watu wewe .... anachoeleza hapa c mzaha... au unajibu tujue upo?
 
Back
Top Bottom