Pendekezo: Prof. Abdallah Safari awe Mwenyekiti CHADEMA

Sidhani kama kuna mtu anapinga Mahakama ya Kadhi,ila tunachopinga ni nani aigharamie Mahakama hiyo?Je ni halali kwa serikali kuigharamia ilhali walipa kodi ni wakristu na waislamu? Je kama Mkristu Mahakama hiyo inamsaidiaje?Kama waislamu wenyewe wanauwezo wa kuigharamia mahakama hiyo wamepewa ruhusa ya kuifungua na kuitumia.
Swala la NECTA sidhani kama linaukweli kwani kuna watoto wakiislamu waliosoma shule za Wakatoliki au Wakristu na wamefaulu vizuri kuliko hata wakristu wenyewe,tatizo ni bidii za watoto wetu kujifunza na kutilia maanani masomo na shule.Makosa mdogomadogo yasifanye tatizo kuwa kubwa sana.Nina historia na kusoma na mabinti kutoka Handeni miaka ya themanini ,mabinti wale walikuwa shule hawaithamini kabisa na wengi walifeli karibu asilimia tisini na tano ya wasichana toka Handeni walifeli,je utawalaumu walimu au NECTA?
Tuwafundishe watoto wetu kujali masomo bila kuangalia udini wao,kwani taifa letu limejengwa na watu waimani tofauti (wakristu,waislamu,wapagani wahindu N.k)

Hata huyo mtoto mkristu leo kesho anaweza akabadili kuwa muislamu na muislamu kuwa Mkiristu,tusiwabague watoto wetu.
 
Shida nyingine ya mahakama ya kadhi kuwekwa na dola ni kuipa nguvu nyingi zaidi ya ile ya kiimani,kumbana muislam ambaye anajisikia kuucha uislam au hata kutoridhishwa na maamuzi ya kiislam.Hii mahakama ikiwashika watu wa imani yao kwa dini na adhabu zao kuwa kama za kutengwa ktk mambo ya kiimani,watu watatii kama wafanyavyo makanisa na madhehebu aya kihindu.Ikiwa hata kijiwe cha wahuni kutishia mfukuza mwanachama na mwanachama kuheshimu hilo kwa moyo wote kwanini waislam washindwe?

Kwa ujumla mtu nayefikia kukaidi kila kitu basi ni wazi kuwa si muumini tena na hivyo uhalali wa kumfuatafuata unaishia hapo.Huyu mtu atapaswa kushugulikiwa na mahakama za dola kama makosa yake yanamtia hatiani.Yaani asiyefunzwa na mamaye ulimwengu humfunza.Sasa iwe asiyefunzwa na dini yake sheria za nchi zitamfunza.
 
Professor Safari ni Mwanataaluma na mshauri,si kiongozi!Ni think tank!!!!!!!!!!!
 
Professor Safari ni Mwanataaluma na mshauri,si kiongozi!Ni think tank!!!!!!!!!!!

Watu wa namna hii ni muhimu sana kwenye vita/ au mpango wowote.
Nadhani ni vizuri sana akae nyuma ili atulie na kuendeleza mlolongo wa strategies mpya kila uchao, kumuweka mbele ni kum under utilize.
Ila chadema mupuguze maneno mengi, kila mmoja wenu ni mjuaji, hii itawacost sana.
 
Chama kina wenyewe hicho. Alishindwa na kuzuiwa Zito kabwe ataweza Mtoto wa Jumbe Safari?
 
Habari wakuu!

Katika tafakuri zangu nimeona ni vyema Prof. Abdallah Safari agombee kiti cha uenyekiti CHADEMA ktk kuelekea 2015, kupitia fursa hii itawezesha chama ku-overcome propaganda chafu za udini ambazo zimekuwa zikienezwa na mpinzani wa CHADEMA (CCM), kwani hoja nyingi za CCM kuhusu udini zimekuwa ziki-base ktk kunyoshea kidole structure ya uongozi wa juu wa chama kwamba upo kiparokia zaidi.

Pia tukubali tukatae ni kwamba CCM bado inanufaika sana na hii cheap propaganda ya udini na kama CHADEMA haitokubali kuneutralize structure ya uongozi CDM basi tujue kuwa out appearance ni 1 ya fact muhimu sana ktk siasa za nchi yetu.

Kwa CHADEMA: Tusibakie tu na utetezi wa kila siku bali tunatakiwa pia tusiwe conservative kama CUF bali tuendane na hali halisi ya siasa za Tz japokuwa somehow itatucost but ni vyema kwa mustakabali wa chama na ukombozi wa taifa letu.

CHADEMA NI CHAMA CHA KITAIFA

Peoples power!

Sidhani kama ni pendekezo sahihi maana CDM haifanyi mambo kwa utashi wa nyinyiemu, wananchi wanaelewa hali halisi siasa za maji taka zishapitwa na wakati.
 
Siasa za bongo ni mchezo mchafu,itaniuma sana SAFARI akiukwaa uwenyekiti,najua yeye si mwanasiasa ni kama WARIOBA, watamgeuzageuza kama chapati na hawa WACHAGA.
 
Halafu waislamu wakiwa wengi kwenye uongozi na CCM wakisema CHADEMA chama cha kiisalamu tunafanya tena uchaguzi?......... Ridiculous
 
Chama kina wenyewe hicho. Alishindwa na kuzuiwa Zito kabwe ataweza Mtoto wa Jumbe Safari?
bwanyenye wewe huachi vituko.Una facts nyingi ila zipo mixed.Kwanini usipange mafile yako kwa page na title ili hata wewe uweze elewa?Hapa ndipo power ya unaowadharau ilipo.Wao mistari yao na facts zao zinampangilio,na mfuatano kadiri zilivyokuja,na kwa title zake na chapter pia.Wao kuanzia vitabu vyao,fikra zao zimepangwa vyema.Ndio maana mabwanyenye wanajikuta kila mara wanachungulia indicators za nyuma tuu.Jipange vizuri ili mamabyo uyajuayo yasikuchanganye wewe zaidi.Mtaishia sema wengine hawaelewi kumbe nyinyi ndio hamuelewi.

Kwani lengo kwa sasa ni nini?kubadili manahodha au kuwa na nahodha nayefaa kuwaondoa CCM ili kufikia uhuru wa kweli?Kwa hiyo mheshimiwa Bwanyenye huyo prof pamoja na kupenda na wengi na vipawa vyake kuwa muhimu na vitatumika kuna haya mambo unahitaji jua:

1.Kwanza awe na nia.
2.Pia aanze mchakato siku zikifika.Ana akachukue form,kama vigezo vya muda wa uanachama,elimu na mengine vinafikiwa.

3.Akifikisha hivyo vigezo basi akabiliane na wapiga kura ktk uteuzi.

4.km atapita basi CDM wataweka nguvu nyuma yake ili abebe bendera yao.

Mpaka hapa kama Sheria vigezo vyote vya chama kavifikia, na anayo nia ipo.Msishsngae akasimamishwa kama itafikia mahlai pa kuona ni potential strategically.Ila kuna sehemu si busara sana kumtumia mtu makini mahali anakwenda shindwa.Ndio maana US, huwa watu kujitokeza kugombea kunahitaji strategy sana kwani akiakosa ndio hivyo tena atajuatia kwa nini asingesubiri .Hata Zitto hakupaswa haribu uchaguzi kwa papara, angepaswa afanye kazi kwa bidii kuhakikisha CDM wana secure nchi halafu time itakuwa sehemu sahihi.Otherwise atagombea na kushidwa na kupotelea katk dustbin.

CCM wenyewe dhana ya mapokezano ya dini na pande za bara na visiwani wamekuta haiwezekani kama kuna ushindani halafu ukakuta mgombea anayeuzika ni wa upande uleule wa nchi,na/au ni wa dini ileile.
 
Watanzania bana mtaelimika lini apewe kisa sisiemu wanasemahivi we mtoa mada mwili wako unashirikiana vizu
 
Hatuchagui viongozi ku-overcome Propaganda! After all unajua maana ya Propaganda? Maana yake ni Uongo, Fix, Uzandiki nk? Jenga vizuri hoja yako, tunaweza kukuunga mkono lakini kwa mtindo huu hatupo pamoja kamanda.

TUMBIRI (PhD, University of HULL - UK),
tumbiri@jamiiforums.com

"Uongo ukisemwa sana mwishowe hugeuka kuwa ukweli" by Lowassa,Dr Slaa & Mbowe at different times.
 
Chadema ni chama makini, Hakiwezi kuongozwa kwa propaganda. Hayo mambo ya kuongoza chama kwa kufuata propaganda ndio yanakigharimu CCM, walirukia mambo ya mahakama ya Khazi yalioanzishwa na Mrema kwenye kampeni za ubunge temeke matokeo yake wamejipotezea heshima.
 
Hatuchagui viongozi ku-overcome Propaganda! After all unajua maana ya Propaganda? Maana yake ni Uongo, Fix, Uzandiki nk? Jenga vizuri hoja yako, tunaweza kukuunga mkono lakini kwa mtindo huu hatupo pamoja kamanda.

TUMBIRI (PhD, University of HULL - UK),
tumbiri@jamiiforums.com

Mkuu yaani unafikili Propaganda haziwezi kubadilisha misimamo ya RAIA kuhusu jambo fulani? Nakushauri ukipata wasaa pitia
historia inayo husu Third Reich specifically one Dr. Joseph Goebbels a propaganda Minister wa Hitler.
 
Makamu mwenyekiti (Bara)- Said Arfi, Makamu (Zanzibar), Naibu katibu Bara (ZZK) na Naibu Katibu (Zanzibar) wote waislamu na bado mnasema ni uongozi wa Parokia? Siwezi kuelewa na Watanzania hawawezi kuwaelewa

Hivyo vyeo ulivyovitaja ni kama Makamu wa Rais, Title kubwaaa lakini kazi ni kukata utepe tu kwenye ufunguzi wa miradi ya serikali!
 
6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom