Pendekezo: Madaraka Nyerere awe mgombea urais wa CCM

Madaraka Nyerere kaishalifanyia nini taifa letu?



IMANI YA CHAMA CHA MAPINDUZI
1.
Binadamu wote ni Sawa
shim.gif
2.
Kila mtu anastahili heshima ya kutambuliwa
na kuthaminiwa utu wake

shim.gif
shim.gif

3.
Ujamaa na kujitegemea ndiyo njia pekee ya
kujenga jamii ya watu walio sawa na huru


Kwako ritz na Faiza Fox....
 
Hizi mbinu sasa....lol ! Naona hizi nia harakati za kuchunguza ni nani hasa anaweza kuwa tishio kwa mgombea urais (kama wengi wa wafuasi wake wanavyofikiria atakuwa yeye) wa chama fulani hivi hiyo 2015. Na lengo lao ni moja tu, hasa wakisha kumjua tu, ni kuanza kumchafua kwa siasa za 'maji taka'. Wakisha kumjua ni kumchafua kwa siasa chafu, eeh kweli wanataka kumchafua mapema asiwasumbue baadaye.

Tumebakiza miaka minne kufika 2015, badala ya kuleta hoja za namna gani tutaweza kumpata Rais muadilifu wa kutuvusha hapa tulipokwama ((Katiba+na namna ya koboresha(ama kwa kuilazimisha/kuishauri) utendendaji wa serikali kwa maeneo ambayo inaonekana kushindwa kabla hatujapata madhara makubwa huko siku za usoni), tunaanza kuzungumzia majina ya watu. he! tuzungumzie majina ya watu kweli sasa hivi....? Hapana. Tunayo mambo mengi ya msingi ya kujadili kuhusu mstakabali wa Taifa letu. Tujikite kujadili hayo na wala siyo kujadili majina ya watu. Ninajua JF Great thinkers(wa-ukweli) watalitambua hili.
 
This is one of those interesting ideas. Sasa tukizungumzia mtu ambaye ni "outsider" ndani ya CCM bila ya shaka Madaraka ni mmojawapo. Kinyume na inavyidhaniwa jina lake limsaidia sana na litagawa taifa vizuri sana. Katika orodha yangu kwa upande wa CCM ameshika namba mbili kwa sasa. Natafuta sababu ya kumfanya namba moja wa CCM.
Sijakuelewa......isije ikawa umepatwa na ugonjwa wa akina Kim wa Korea wa kuchagua majina na sio watu.
 
Baada ya kusoma hii post nlipokuwa namtafuta Ist born wa Babu yangu JK Nyerere...nimpevutiwa sana kama atagombea ila je akipita huku chini hakutakuwa na wajanja watakao mzunguka manake my father madaraka ni kama mkimya fulani hivi.
 
Umemwita Madaraka engineer. Madaraka ni banker. Amesomea banking.Lakini Bavicha walipofika hapa,Madaraka alisema anataka kugombea urais baada ya raundi hii ya sasa ikiisha. Labda alisoma posting yako.
 
Umemwita Madaraka engineer. Madaraka ni banker. Amesomea banking.Lakini Bavicha walipofika hapa,Madaraka alisema anataka kugombea urais baada ya raundi hii ya sasa ikiisha. Labda alisoma posting yako.
Andrew naomba take time utuandikie the family tree ya ukoo wa Nyerere.

Nakumbuka tukiwa Primary tulifundishwa kuhusu Chief Borito alikuwa na wake kadhaa, Bibi yenu ndio alikuwa mke mdogo. jee wake wengine ni kinanani?. Je walikuwa na watoto?. Half brothers na half sisters wa Nyerere walikuwa kina nani?.
 
Ufalme wa Tanzania ya sasa unatekwa na wenye nguvu...

Mambo ya uadilifu yalishazikwa na Kambarage...

Hujasikia wenyewe wanakuambia 'CCM ina wenyewe na hao wenyewe ni wao'?

Baba kaacha jimbo Chalinze mwanaye kaliendeleza...

Na wapo wengineo wengi wafananao na huyo...
 
Acha madaraka hata mzee wake hatuwezi thubutu tena . Tumechoka kutawaliwa kwakutiwa hofu ili mtu aendelee kutawala.
 
Back
Top Bottom