DALLAI LAMA
JF-Expert Member
- Jan 31, 2012
- 8,651
- 2,627
He deserve,amepaisha chama
Moja ya viongozi Tanzani ni huyu bwana Freeman Mbowe, namhusudu kwa 100%, nayasema haya kutokana na uongozi wake tangu awe Mwenyekiti wa Chadema taifa na kukipa chama hicho hadhi kubwa ndani na kimataifa kwa kung'ara bila misukosuko ya mara kwa mara, nadhani anastahili kutuzwa kwa hilo.
Naomba Nawasilisha.
Siku nzima ya leo nimekuwa nikiwaza ni kwa nini jana nilithubutu hata kuperuzi thread iliyoandikwa ''Freeman Mbowe kupewa heshima ya uongozi bora"! Kusema kweli pamoja na GT wengine kuunga mkono huku wale GT wanaokwenda mbali zaidi ya mawazo ya mtoa hoja wakichangia vizuri sana mie nime conclude yafuatayo:
1. kwa wapambanaji wa kweli hii ni dalili mbaya ya kuanza kuchokonoa nani ni bora kati ya Slaa na mbowe huku kila mtu akijua hawa viongozi, wote ni bora, shupavu na wapambanaji.
2. Kwa sababu huu hauwezi kuwa mjadala wa tija kwa nchi yenye watu waliochakaa kwa umaskini na uonevu,ni vema tungeona ushindani ule uanotukera sio unaotufurahisha kwa mfano kati ya mawaziri wanaolindwa wasijiuzulu ni yupi asiyetimiza wajibu wake zaidi,yaani waziri gani ni mzigo zaidi ya wengine woote!
3. Ushauri wa bure ni kuwa ni kuwa hakuna anyestahili sifa wala pongezi sio mbowe wala slaa bali wananchi tuliokubali kufanya mageuzi,wananchi tuliochoka na taabu,wananchi tulio tayari hata kutoa sh 100 zetu ili kufanikisha mageuzi!Ni usaliti na unafiki kufikiri kuwa kati ya hawa kuna anyestahili pongezi!
Tujadili mambo ya msingi na sio haya manayotuletea!Hii ni taarifa tu na mtazamo wangu na wala sitajibu hoja za wanaotaka kuleta mitafaruku! Asanteni.
Mleta thread una hekima sana so bila shaka na ww una Mungu wa israel. Ubarikiwe kwa mawazo yako mema kwa chama chetu CDM. Amen
Siku nzima ya leo nimekuwa nikiwaza ni kwa nini jana nilithubutu hata kuperuzi thread iliyoandikwa ''Freeman Mbowe kupewa heshima ya uongozi bora"! Kusema kweli pamoja na GT wengine kuunga mkono huku wale GT wanaokwenda mbali zaidi ya mawazo ya mtoa hoja wakichangia vizuri sana mie nime conclude yafuatayo:
1. kwa wapambanaji wa kweli hii ni dalili mbaya ya kuanza kuchokonoa nani ni bora kati ya Slaa na mbowe huku kila mtu akijua hawa viongozi, wote ni bora, shupavu na wapambanaji.
2. Kwa sababu huu hauwezi kuwa mjadala wa tija kwa nchi yenye watu waliochakaa kwa umaskini na uonevu,ni vema tungeona ushindani ule uanotukera sio unaotufurahisha kwa mfano kati ya mawaziri wanaolindwa wasijiuzulu ni yupi asiyetimiza wajibu wake zaidi,yaani waziri gani ni mzigo zaidi ya wengine woote!
3. Ushauri wa bure ni kuwa ni kuwa hakuna anyestahili sifa wala pongezi sio mbowe wala slaa bali wananchi tuliokubali kufanya mageuzi,wananchi tuliochoka na taabu,wananchi tulio tayari hata kutoa sh 100 zetu ili kufanikisha mageuzi!Ni usaliti na unafiki kufikiri kuwa kati ya hawa kuna anyestahili pongezi!
Tujadili mambo ya msingi na sio haya manayotuletea!Hii ni taarifa tu na mtazamo wangu na wala sitajibu hoja za wanaotaka kuleta mitafaruku! Asanteni.
Huu sio wakati wa kusifiana pale CDM, ni wakati wa mapambano. Sifa zitatolewa 2015 wakati chama linaingia Ikulu, kupenda sifa ni sera ya ccm ndio maana baba mwanaasha anahudhuria kila aina ya msiba ili watu waseme RAIS WA TANZANIA ANA HURUMA NA WAFU!!! CDM kwa sasa ni kazi sifa baadaye
kile chama kimeanzishwa sebuleni kwa mkwe wa mbowe mwisho wa siku lazima kirudi pale sebuleni mtake msitake hao wengine wamewekwa kama maboya tuuu!
Siku nzima ya leo nimekuwa nikiwaza ni kwa nini jana nilithubutu hata kuperuzi thread iliyoandikwa ''Freeman Mbowe kupewa heshima ya uongozi bora"! Kusema kweli pamoja na GT wengine kuunga mkono huku wale GT wanaokwenda mbali zaidi ya mawazo ya mtoa hoja wakichangia vizuri sana mie nime conclude yafuatayo:
1. kwa wapambanaji wa kweli hii ni dalili mbaya ya kuanza kuchokonoa nani ni bora kati ya Slaa na mbowe huku kila mtu akijua hawa viongozi, wote ni bora, shupavu na wapambanaji.
2. Kwa sababu huu hauwezi kuwa mjadala wa tija kwa nchi yenye watu waliochakaa kwa umaskini na uonevu,ni vema tungeona ushindani ule uanotukera sio unaotufurahisha kwa mfano kati ya mawaziri wanaolindwa wasijiuzulu ni yupi asiyetimiza wajibu wake zaidi,yaani waziri gani ni mzigo zaidi ya wengine woote!
3. Ushauri wa bure ni kuwa ni kuwa hakuna anyestahili sifa wala pongezi sio mbowe wala slaa bali wananchi tuliokubali kufanya mageuzi,wananchi tuliochoka na taabu,wananchi tulio tayari hata kutoa sh 100 zetu ili kufanikisha mageuzi!Ni usaliti na unafiki kufikiri kuwa kati ya hawa kuna anyestahili pongezi!
Tujadili mambo ya msingi na sio haya manayotuletea!Hii ni taarifa tu na mtazamo wangu na wala sitajibu hoja za wanaotaka kuleta mitafaruku! Asanteni.
Mungu wa Israel ndio yupi mkuu??..ivi nikisema cdm mnaegemea mlengo flani wa kidini nakosea.