Pendekezo: Filikunjombe awe Waziri Mkuu mpya!

Hiki chama cha magamba tumekichoka sasa si unaona sasa kama viongoz wa juu wanakihama..,itakuwaje mim kuhamia chadema,,,'hawa mawazir wanatafuna pesa za umma bila wasiwasi kabisa wenye tuhuma wajiuzuru...'hawa ndo wanamuharibia mh wa hari mbaya,,nguvu hakuna,,kasi za kupanda gharama za maisha.
 
Huyu Bwana anatakiwa abakie hapohapo kwenye role ya "whip" kwani role ya utendaji mara nyingi haiendani na uongeaji. Waongeaji wengi watabakia kuwa waongeaji na watendaji wengi siyo waongeaji ni watu wa matendo.

Fili anaongea kwa vitendo ila ukimweka kwenye role ya utendaji bado ataendela kuongea badala ya kutenda. Itabidi atafutiwe kazi itakayoendana na kipawa chake lakini siyo uwaziri mkuu. Otherwise nina MFAGILIA KWA SANA!!!!
 
NDIGu watanzania wenzangu, raia wenye mapenzi mema na inji hii, waume kwa wanawake, wakubwa kwa wadogo, waliosoma na wasiosoma...mabibi na mabwana!!!!

ni ushahidi tosha kuwa maisha ya watanzania wengi kwa miaka mingi yamedumazwa na kutiwa kilema na mipangilio ya utawala wa KICHIFU na ubadhirifu unaokumbatiwa na CCM!!

sasa nchi imekomaa watu wanataka wawe na uamuzi juu ya hatma ya nchi yao!!

watu wamelia..tumeona wezi wa kuku wakitupwa magerezani...wahujumu wa afya elimu na kila tunu na rasilimali ya taifa wakilindwa na kupigiwa makofi....

mwalimu alisema, naomba tumuelewe.....mwalimu...yeye ni mwanaCCM mwenye kadi namba moja...alikiri kuwa taifa kwanza CHAMA baadae!!!

wengi tumejitolea kuulea upinzani kwa nia njema ya taifa..adhabu tunazozipata ni kali sana...wengine walisema tumejitakia wenyewe!!!!

sasa umefika wakati..tuungane kuilinda nchi yetu....

waliiba kina jairo, na wenzao....wakalindwa.....

wakaua watu kule muhimbili...wakalindwa....

wakafilisi mashirika ...wakalindwa...

jamani nyie huko CCM??? mbona chama kina hazina kubwa ya watu wanaoeleweka woga uko wapi???

mnaogopa nini kuvunja baraza ya mawaziri??? kwani MPAKA SASA WABUNGE WANGAPI WAMESOMEA UWAZIRI KIASI KWAMBA HAMNA WATAALAMU WA KUTOSHA WA KUFANYA KAZI YA UWAZIRI???

NA NI PEPO GANI LILIWAKUTA MKAANZA KUCHAGUA MAWAZIRI WANAOTEMBEA NA LAP TOP TATU?? NA PETE MBILI ZA ALMASI?

tumewaona VIJANA,,,tumewaona WAZALENDO!!! tumewaona waCHAPAKAZI...

filikunjombe tumekuona unavyochapa kazi na kaka zITTO KUNUSURU NCHI.....kule poac..

USIOGOPE, JIKUSANYE NA WENZIO...WASIKUTISHE KWENYE KIKAO CHAO MCHANA...NI MAGAMBA TU HAO!!!!

KOMAA NAAMINI KABISA KUNA KITU CHA AJABU KINATAKA KUTOKEA HAPA!!!!! NA NAOMBA WANA JF TUTOE MAWAZO SASA....

UNAONAJE serekali ya tanzania chini ya waziri mkuu mteule HIS EXELENCY DEO FILIKUNJOMBE?????

ni muhimu sana kulitafakari hili wakati tunaendelea kuwalilia SOKOINE NA KOLIMBA!!!!!

Hii nchi chini ya Utawala wa CCM, hata aje nani hataweza kuunusuru uchumi kwani tayari kuna Mfumo wa wizi umeshatengenezwa na kuimarishwa.

Ufumbuzi wa tatizo hili ni kuiondoa Madarakani na kuiua kabisa CCM.
 
Bwana Rejeo,Ingekuwa unayosema ni ya kweli madudu hayo yangeibuliwa na kamati za kisecta zinazo simamia wizara mbalimbali ambazo zote ukiacha hizi 3 zinaongozwa na magamba wenzio, na hao magamba wenzio kwenye zile kamati za wapinzani hawana la kufanya inabidi waende na mawimbi hayohayo
 
ndoto za mizimu ya mababu!!!!!!!

serikali haiihitaji wazungumzaji inahitaji watendaji.

Tupe CV yake ya utendaji sio uzungumzaji. Nitakuwa tayari kukuunga mkono


Kwa uchache

1. Deo Filikunjombe kamaliza shahada yake ya Mass Communication Makerere University Uganda

2. Alikuwa Ripoter wa Radio One na ITV kwa muda mrefu akitumia jina la Deo Haule akiripoti toka Kampala

3. Alijiunga na Jeshi la Polisi na kufanya kazi kwa mwaka mmoja kisha akaacha kazi sababu alipangiwa makao makuu kufanya kazi chini ya Mohamed Mhina ambaye hana hata degree moja

4. Alipotoka Polisi alijiunga na World Vision na kufanya kazi kwa miaka kama minne hivi akiwa Makao makuu Arusha na baadae akahamishiwa tawi la dar es salaam

5. Alipotoka World Vision akajiunga na MKURABITA ambapo alifanya kazi kwa muda usiozidi miaka miwili akaacha.

6. Baada ya kuacha Mkurabita, akafungua duka lake la electronics lipo Benjamin Mkapa Tower, opposite na Posta Mpya ghorofa ya kwanza. Then akaafungua vituo vyake vya kuuzia mafuta Ludewa na ndipo akaanza harakati za kuingia kwenye siasa na kuchaguliw akuwa mbunge mwaka 2010.

Need I say More?
 
Kwa katiba yangu iliyozeeka naamini akihitajika PM mwingine lazima awe magamba...japo wote ni wachafu ila kidogo nina imani na wafuatao:
1.Samuel Sitta
2.John Pombe Magufuli
 
we mpemba una matatizo sana, si mna nchi yenu nyie? na huku mnataka kutawala?

Kwa rais huyu tuliye nae sitashangaa akimweka mpemba kuwa waziri mkuu.. kasi yake zaidi, ari zaidi na nguvu zaidi za utendaji mbovu serikalini na kudidimiza wananchi... Aondoke yeye na wafu wake maana sio wazima wale.. ha!!
 
Anafaa,

Ila nchi hii itakimbizwa kwa spidi ya rocket. Wengi watalia, waulizeni wafanyakazi wa halmashauri ya wilaya ya Ludewa, wanajuta kumfahamu. Wnanchi watashangilia maana mambo yataenda.

Tito
 
Mtoa mada are you serious!????????? Filikunjombe hana jipya ana udugu na ujamaa na mtawala na watoto wake. Hana jipya atakalolileta zaidi ya madudu ya ccm. Chadema ina vijana mahiri wa kushika nyadhifa hiyo sijaona mtu toka chama tawala wote ni waovu tuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom