Pendekezeni jina la kampeni ijayo ya CHADEMA

motonsebu

Member
Dec 5, 2010
47
2
WADAU . naomba tujadili jina linalofata baada ya operation sangara na namna ya kuindesha kwani sasa hivi ni mtu kwa mtu, mh mbowe alisema jaja hakuna kijiji ambacho wabunge wa chadema hatakikanyaga.:-*
 
1.operation mpaka kieleweke
2.operation hatuchoki
3.operation vuguvugu la kaskazini
4.operation safisha ufisadi
5.operation freedom Tanzania
6.operation MSIMAMO WA ARUSHA.
 
OPERATION 'UFISADI TOKA' UTAIFA UFUFUKE!!

Na mambo yaende mpaka kule kwenye kijiji cha mwisho Tanzania ambapo mjumbe yeyote wa CCM taifa hakuwahi kufika tangu tupate uhuru wa nchi. Huko ndiko kwenye GALA LA KURA ambazo kila mwaka CCM huchakachua jinsi wapendavyo.

CDM Fungueni haraka akaunti ya mafuta ya magari kwenda 'Oparesheni Ufisadi Toka' kuelekea kila kona ya nchi.

Wazee, Utaifa mbeeelleeeee kama tai!!!! Napenda nchi yangu Tanzania!!!!
 
operation rainbow (upinde wa mvua)


thumbnail.aspx rain.jpg

hii hutokana na mvutano wa jua na mvua..... mantiki mzima ni pale jua linapohimili mvutano huu na kuzuia mvua ndivyo hivyo hivyo CDM itakapo himili kupambana na mvutano mkubwa na chama tawala dhidi ya ukombozi na kuleta maendeleo kwa watanzani ... na baadae CDM kuibuka kuin'goa ccm na kuonekana angani kama upinde
 
operation rainbow (upinde wa mvua)


View attachment 21302

hii hutokana na mvutano wa jua na mvua..... mantiki mzima ni pale jua linapohimili mvutano huu na kuzuia mvua ndivyo hivyo hivyo CDM itakapo himili kupambana na mvutano mkubwa na chama tawala dhidi ya ukombozi na kuleta maendeleo kwa watanzani ... na baadae CDM kuibuka kuin'goa ccm na kuonekana angani kama upinde

Pendekezo lako limenivutia. Lina mantiki.
 
Tanzania mpya

Sungura mpole,...
Nakubaliana na pendekezo lako kwa sababu zifuatazo!

1.Wakati huu kukiwa na vuguvugu la katiba mpya itakuwa nafasi ya pekee na uwanja wa kuwaaambia watanzania ni Tanzania ya namna gani tunaitaka,....kwa kuelezea uzee wa katiba yetu,....na kuelezea "Tanzania mpya" iwe vipi!

2.Kwa kuwa na "Tanzania Mpya" wananchi watambue uzee wa nchi yetu ume sababishwa na nani kwa hiyo tunapo ingia katika "Tanzania Mpya" watanzania tutambue ni chama gani kinacho weza kutuletea tumaini jipya!

Ni hayo tu,kiukweli,..."TANZANIA MPYA" kama motto imekaa pouwa sana
Salute great thinker
 
Operation zinduka! Chakachua ufisadi kuwa mzalendo ili cake ya taifa tuile wote na sio kufaidisha wachache! Kwa pamoja tunaweza
 
Mimi naona ibaki ile ile Operation Sangara ikiketa msisimko na hamasa ya watanzania wengi kujitambua,nadhani itaacha legacy baada ya ukombozi kamili watakapounda serikali
 
'Operation papa', hii ni kutokana na usugu wa mafisadi baada ya kuanikwa na operation Sangara lakini bado yameng'ang'ania na kujiimarisha zaidi hadi kutuletea Downs kutuibia kweupee! Operation papa itajikita kwenye katiba mpya iliyoandikwa but ikilenga zaidi kuitekeleza katiba isiyoandikwa kama ile iliyoleta ukombozi Tunisia
 
Operation sangara was and still the best,and this time they should educate people to know their constitutional rights.
 
Back
Top Bottom