....Pendekeza Nani apewe BAN tupia jina hapo chini....

Asprin

hebu acha kujibamiza kwa Paw, ntakugeuza piriton sasa hivi.....

Nilitaka kujua kama uko hai. Watu wanatukana tu sioni jela zikifanya kazi. Nkajua wameshakuloga...

BTW kwa wewe kuquote post yangu ni uhakika kuwa nina maisha ya miaka 10 JF bila kulamba ban hata nikimtukana invizibo.

Ubarikiwe sana mod mtakatifu Paw.
 
Last edited by a moderator:
Hahahahahaha
Haya mkuu

Paw MoD uliyejipatia umaarufu kuliko wote mbona upo kimya namna hii?

Nakumbuka hukumu yako kwa FF iliyokufanya ushambuliwe sana. Bado nakukubali sana lakini labda niamini ulikiwa semina au likizo maana nyuzi za Ban sizioni sikuhizi.

Karibu maana nilikuwa nakutana na akina RR, Buchanan.
 
Hata Invisible .... Mmh! Kutoa like... Ni ishu!

Kuna thread nilianzishaga hapa, kuhusu 'like' ya Invisible, nikaweka na viambatanisho vyote kuthibitisha kuwa niliipata, tena kihalali na sio kwa magumashi.
Kesho yake niliamka mwili wote unauma, afu kichwa kinagonga balaa, ukizingatia jana yake sikugusa hata kiroba.
 
You made my day..
So haikuwa magumashi wala nini...! Mphamvu bana...

JF ni zaidi ya uijuavyo.. Source: The Boss
 
Last edited by a moderator:
You made my day..
So haikuwa magumashi wala nini...! Mphamvu bana...

JF ni zaidi ya uijuavyo.. Source: The Boss

Waliniroga mkuu, yaani wana wivu ile mbaya... Yani like tu inamfanya mtu amharibie mwenzake siku?
Loh?
 
Last edited by a moderator:
Nilitaka kujua kama uko hai. Watu wanatukana tu sioni jela zikifanya kazi. Nkajua wameshakuloga...

BTW kwa wewe kuquote post yangu ni uhakika kuwa nina maisha ya miaka 10 JF bila kulamba ban hata nikimtukana invizibo.

Ubarikiwe sana mod mtakatifu Paw.

hahahaha Asprin nimekuona jinsi ulivyokuwa mdogo. Chezea Paw wewe? Hahahaha. Umefyata mkia
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom