....Pendekeza Nani apewe BAN tupia jina hapo chini....

Mimi naomba wewe ndio uwe wa kwanza kupigwa BAN kwa sababu unaombea wenzako wapigwe BAN.
 
Kongosho. Apigwe life ban ila awe anaingia na kupost kama kawaida
Sababu: hajulikani anajinsia gani hadi sasa, ananiunganishia bila mafanikio
Mwisho kabisa anastahili membership ya aina yake: active banned member
 
Last edited by a moderator:
kama vipi member wote tupigwe ban tu.....:banplease::banplease::banplease::banplease:
 
duh! Asprin hujitakii mema. Najua kuwa hapo Paw amechukia sana ili kakupotezea.
Cna hakika kama Invisible amechukia. Kuna time ye anakuwa fair sana hata Likes anatoa. We Asprin ushawah kupewa Like na Paw?

Mara ya mwisho kupata Like ya Paw nilifanya ibada ya shukrani. Kupata like ya Paw ni sawa na mgonjwa wa lile gonjwa letu kupata ARV.
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: Paw
Kisa na mkasa?

Nilitaka kujua kama uko hai. Watu wanatukana tu sioni jela zikifanya kazi. Nkajua wameshakuloga...

BTW kwa wewe kuquote post yangu ni uhakika kuwa nina maisha ya miaka 10 JF bila kulamba ban hata nikimtukana invizibo.

Ubarikiwe sana mod mtakatifu Paw.
 
Hahahahahaha
Haya mkuu
 
ahebu jaribisha tupate ushuuda..
 
Back
Top Bottom