....Pendekeza Nani apewe BAN tupia jina hapo chini....

zubedayo_mchuzi

JF-Expert Member
Sep 2, 2011
4,873
1,216
Kama ungekuwa wewe ungependekeza nani apewe BAN.Toa na Sababu Tatu muhimu.
Kwa mimi wale wote wenye lugha za matusi na wanaoiba wake za watu.
Ongeza jina ...
 
wote wenye lugha chafu, mfano.utakuta mtu anaomba ushaur badala umshauri unaanza kumdhihaki...
 
mi siwezi kula ban mimi nina discpline kubwa sana...

Huu uzi ni sahihi,mnaogopa kutajana kwnye mijadala huwa mnapendekeza Ban,muwe wawazi.
 
1. Anaanzisha uzi unaoweza kuhatarisha amani ndani ya JF
2. Anaanzisha uzi kisha mwenyewe anadisappear
3. Anajaribu kuprovoke hasira za ma moderators kulambisha watu ban..

Umeona taabu sana kuandika Lizzy?
 
Last edited by a moderator:
Ambae hatachangia haka kauzi..
1) ni muhimu
2) ni muhimu
3) ni muhimu
 
Humpati mtu, name calling. Janja yake Paka, panya makwisha tambua.....
 
Invisible na Paw. Wapigwe permanent ban mpaka kwenye server.
 
  • Thanks
Reactions: Paw
Back
Top Bottom