Pendaeli Omari yuko wapi jamani?

trachomatis

JF-Expert Member
Jun 7, 2011
3,758
735
Nampenda kwa jinsi anavyoandaa vipindi vya michezo vya kwenye luninga..

Huyu bwana anaipenda kazi yake kweli! Kamarada wala hamfikii..
 
Au nae hakwendana sera za tbc,tuseme alikuwa na mwelekeo wa Tido wamemuondoa? ccm hawakawii

Watakuwa washamba sana na wasiokwenda na wakati,conservertive,na wachawi wa maendeleo ya TBC na walafi wakubwa wa kodi zetu!
 
Pendaeli aliifanya TBC iwe juu kwenye habari na hasa za michezo, kuna kipindi alishika uhariri wa michezo na kiukweli kapotea sana, nadhani hapa tutaelezwa yupo wapi.

Yeye na Msami walikuwa wako huru mbele ya kamera, hawakakamai kama wengine na utapenda kuangalia wanachotangaza. Nilisoma mahali kuwa Msami yupo BBC, ni ya kweli haya
 
Pendael anafanya kazi na kampuni ya BBC ku-train local radios...so kachukua likizo ya mwaka mmoja bila malipo...anasoma ramani kama BBC watamtunza fresh ndo anang'oka TBC1...anasafiri mikoa kama songea...tanga pangani...manyara...iringa...so ni kama mkufunzi now!
 
Simpendagi Marin hasan anajifanyaga kama ye ndio anajuaa kutangazaaaaaa afuu kama vile tbc ya kwake....!!!
 
Yap pendaeli alikuwa vizuri.Kipindi cha TIDO alikuwa na vijana wazuri sana.Ila baada ya kumtimua,nadhani na wao watakimbia.Maana TBCCM sasa ni maslahi ya chama na serekali kwanza...mengine baadae...
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom