Penda unapopenda kwanza.

Catherine mm nataka namba 2 na sio namba 1

i thought unachokitaka ungeniambia cjakitaja, nacho ni "msichana mwenye upendo wa dhati". Hivyo unavyovitaka waweza mfanya mpenzi wako ajifunze, hakuna mtu anazaliwa mchamungu, hayo tunayakuta maishani. Hapo kwenye rangi nzuri, maisha kama yapo safi mtoto lazima ashine.
 
Last edited by a moderator:
Mpe huyo, huwa haviwezi kuexist vyote kwa pamoja, si ulisoma ile story ya msichana aliyekuwa kwenye foleni akaletewa vidumu vya mafuta na majibaba kama watatu hivi? sasa hao warembo wanaangaliwa na kila mtu, maisha ni magumu nao ni binadamu kama sisi mwisho wa siku wanaingia kishawishi na kusaliti wapenzi wao kama Rogi ambae ni wa kipato cha kawaida.

licha ya hivyo, wanaume wenyewe wanapokuwa na wanawake wazuri sana huwa hawajiamini na pengine hutaka kula gud time tu na kusepa na si kuwa na mpango endelevu.
 
Last edited by a moderator:
Kila kitu kina uzito wake
i thought unachokitaka ungeniambia cjakitaja, nacho ni "msichana mwenye upendo wa dhati". Hivyo unavyovitaka waweza mfanya mpenzi wako ajifunze, hakuna mtu anazaliwa mchamungu, hayo tunayakuta maishani. Hapo kwenye rangi nzuri, maisha kama yapo safi mtoto lazima ashine.
 
dah....kweli aiseee. nilipenda lkn nkawa najiona kama mtumwa vile..... ila now nimependwa na naona raha ya kupendwa.... nampenda kama anavonipenda....raha kama nini....!!!
 
Back
Top Bottom