Penda unapopenda kwanza.

DERICK2000

JF-Expert Member
Apr 8, 2012
203
35
Penda umpendae,usijilazimishe kupenda kumridhisha mtu hata siku moja.nimejikuta kujilazimisha kumpenda mtu.najuta.be aware..
 
Penda unapopendwa. Mi nilipenda nilipopenda kwanza, nilijuta. Nikawa kama mtumwa. Nashukuru nilifanikiwa kujitoa. Sasa niko na anayenipenda. I am so happy. Kumbe kupendwa raha! Pendwa kwanza ndipo upende. Usijilazimishe kama DERICK2000 utajuta!
 
Last edited by a moderator:
Hilo kila mtu anajua. lenyewe hatujui ni kama utajua vipi unapendwa kama unavopenda?
 
Ni kweli Aiseee, kwa sabbu bwana mapenzi ya kulazimisha siku zote huwa ni ya upande mmoja.....ila kama umependa halafu na yeye mwenzako akawa kwenye mwelekeo mmja hapo hmna tabu go on peruzing the sweet side of life
THIS GOES TO ALL THEY ARE STILL LOVING SUL
 
Bado sijapendwa ninapotaka kupendwa...why is it. It always one side, eithe me or the other!
 
Kweli raha ya penzi kupenda na kupendwa,ukipenda kama hujapendwa matesa na ukipendwa kama hujapenda kero!
 
kupendana ndo issue maana ukipendwa bila wewe kupenda utaona kero pia
 
The problem is that; the one you love is no the same person who loves you
 
hakuna mapenzi wala nini nawadaiz ndo maana incidents za mapenzi ya upande mmoja huonekana, ushauri wangu ni kwamba wewe kama unapenda penda tu ila usijigerentii kwamba ukipenda utareceive the same love kama ile unayogive out, na wale mnaotaka wa kuwapenda muangalie kwani sio kila anaekupenda sana atakuvutia...kumbuka love ni kemia.
 
Penda umpendae,usijilazimishe kupenda kumridhisha mtu hata siku moja.nimejikuta kujilazimisha kumpenda mtu.najuta.be aware..

Hivi nyie watu mbona siku hizi kama mnaweka thread zinazonisema mm vile..
 
Hivi nyie watu mbona siku hizi kama mnaweka thread zinazonisema mm vile..

Ndo ilivyo na kwa wengine mkuu,hayajakukuta peke yako.ananipenda,but moyo wangu upo pengine kabisa.sasa madhara ya kwa huyu nkimwambia simpendi c atajiskia vibaya?.i have no option.am going to do it now.
 
sasa huyo ipo siku utamzingua..believe me.
 
Nshamwambia,staki hukumu za kujitakia mbelen.am free now.ntapotea hewani 30days.nkirudi,ntakuta kashapoa.na kuaccept wat is al about.

Ila kama unaweza kujizuia kutomfanyia ndivyo sivyo bora uwe naye..mm nikimpata wa hivyo nachukua kbs..
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom