PENATI ya mwisho kwa MADAKTARI...

VUTA-NKUVUTE

JF-Expert Member
Nov 25, 2010
6,135
17,802
Baada ya Madaktari kupigwa chenga za mwili mara kadhaa na Rais Jakaya Kikwete juu ya kuondolewa kwa Waziri wa Afya,Ndugu Haji Mponda na Naibu wake,Ndugu Lucy Nkya,sasa imebaki nafasi moja kwa Madaktari hao.Nafasi yao ni hii.Hii ya uteuzi wa Waziri 'mpya' wa Afya unaotarajiwa kufanywa na Rais wakati wowote kuanzia sasa.Wasipoondolewa akina-Mponda,Madaktari watafanya nini? Rais atawaachia wasiowataka tena kupima joto lao?
 
Uliambiwa Mponda ni mgeni tu pale wizarani, hivyo baadhi ya madudu aliyakuta. FULL STOP!
 
Back
Top Bottom