PEMBE ZA NDOVU Kukamatwa Kenya hii imekaaje?

Job K

JF-Expert Member
Oct 4, 2010
9,315
7,113
Nimeona kwenye runinga ya K24 rundo la pembe za ndovu zimekamatwa bandari ya Mombasa. Katika maelezo yao wanadai zilikuwa zinasafirishwa kama plastics kutokea TZ kwenda Dubai lakini mwenye mzigo hajakamatwa. Ni kweli wa-TZ wanafanya hiyo biashara au jamaa wanataka kutuchafulia jina?
 
Nimeona kwenye runinga ya K24 rundo la pembe za ndovu zimekamatwa bandari ya Mombasa. Katika maelezo yao wanadai zilikuwa zinasafirishwa kama plastics kutokea TZ kwenda Dubai lakini mwenye mzigo hajakamatwa. Ni kweli wa-TZ wanafanya hiyo biashara au jamaa wanataka kutuchafulia jina?[/QUOT
Wakenya achana nao.Wana kila mbinu ya kutaka kudhoofisha utalii Tz na ikizingatiwa kuwa wao wapo vitani.Na kama haitoshi tz ni legelege ktk kusimamia sheria,sera na taratibu za uhifadhina kenya wanachukulia kama advantage ktk kutuponda.Je ni kweli kuna ndovu aliyepotea ama kuuwa tz? Labda wanaohusika watakuja kutuambia,TANAPA,NCAA NA WD.Lakini sidhani kama ni kweli ni kuharibiana tu,mkuu
 
Back
Top Bottom