Pemba Oyee..

Adrian Stepp

JF-Expert Member
Jul 1, 2011
2,764
2,581
mpemba mmoja alikuwa ana angalia movie ya kimarekani ikawa kila mara alikuwa ana sikia hili neno MOTHERFU,CK kama mara 50 akashindwa kuvumilia ikabidi aulize

"jamani nhyu mamaye faki ni maarufu sana huko marekani eeeehh???? naona nchezo nzima kantajwa yeye sensikia hata mara moja mamaye jundu na mwenzie!!!!!!!!!!!!!!!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom