Pedeshee Abdul Mteketa na ubunge Kilombero

Jimbo kuongozwa na pedeshee,umpi nafasi ya kushinda why???? AS far as politics is consened TANZANI ni kama kichwa cha mwendawazimu,any tom,dick and harry can govern.History has proved this right toka aondoke nyerere ourleaders have failed to live up to the billings.Mtekete could be a breath of fresh air,fearless,has street cred and has been there and seen it all.

Kwa sababu REGIA ni mgombea pia wa jimbo hilo kupitia Chadema...so hampi nafasi ya kushinda kwa sababu atashinda yeye (REGIA)...upo?
 
Hivi hili neno Pedeshee maana yake halisi ni nini? mfanyabiashara mwenye mafanikio? anayehonga? au tapeli? au....?

Pedeshee ni PDG kwa kifaransa "Président Directeur Général", mtu kama Director General / CEO.

Wabongo wamechukua hii kutoka kwenye nyimbo za Kizairwaa.
 
Huyu jamaa ni msanii tu wa mjini kama akina papa msofe,katunzi mzamir nk hawa wanaishi kwa kuwatapeli wachhina au wazungu wanaokuja bongo kununua madini km copper nk . sijui kama atakuwa ametubu na kujirekebisha last time nilipokuwa bongo nilkutana naye sea cliff kwenye casino anacheza kamari kwa kwenda mbele, hawa jamaa huwa wanaishiwa mpaka sabuni ya kuogea lakini wakipiga deal gari ya bei ya chini wanayotembelea no Range rover sport house!!! sasa kweli siasa zimeingiliwa kama bongo mnafikia hatua ya kumpa huyu diplomatic passport kama mbunge!!!!!!!!!.lupango kwake ni home.
 
Kwa hiyo huwa wanaishiwa hadi sabuni hawa mapedeshee?
 
.
 
Jana nimesikia amepost picha katika mitandao yu mgonjwa na anahitaji msaada wa Rais wa JMT. Malipo ni hapa hapa duniani.
 
Huyu jamaa ni msanii tu wa mjini kama akina papa msofe,katunzi mzamir nk hawa wanaishi kwa kuwatapeli wachhina au wazungu wanaokuja bongo kununua madini km copper nk . sijui kama atakuwa ametubu na kujirekebisha last time nilipokuwa bongo nilkutana naye sea cliff kwenye casino anacheza kamari kwa kwenda mbele, hawa jamaa huwa wanaishiwa mpaka sabuni ya kuogea lakini wakipiga deal gari ya bei ya chini wanayotembelea no Range rover sport house!!! sasa kweli siasa zimeingiliwa kama bongo mnafikia hatua ya kumpa huyu diplomatic passport kama mbunge!!!!!!!!!.lupango kwake ni home.
Living legend , hatimae uliyosema yamekuwa
 
Aisee, uliona mbali mkuu.

Live long JF.
 
Back
Top Bottom