Pedeshe

Viol

JF-Expert Member
Dec 15, 2009
25,426
18,223
Pedeshe yupo Coco Beach na wale wa kwenye luninga.
Pedeshe: Hani ulisema birthday yako next week?
Hani: Yeah
Pedeshe: Nataka nikununulie kitu unikumbuke daima, unaona lile vogue jekundu pale?
Hani: Wauuuu ukinunulia lile mbona watazima sigara zao, yu are soooo sweet, unajua kuhendo wimen,
Pedeshe: Subiriiii, unaona lile vogu jekundu, basi nimekununulia rangi ya kucha zinamech rangi na lile vogue
 
eheehee lazima msonyo ufuate na tabasamu kupotea usoni mwa binti lol
 
hapo demu atakubali ila fasta unaona anaanza kuwaangalia matozi walioko pale na wapenzi wao halafu anaanza kujicompare nao na kumuona huyu pede kua hana kitu..!
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom