Pearl vipi?

drphone

JF-Expert Member
Sep 29, 2009
3,542
281
habari wanajamii nani mwenye taarifa ya ijumaa kwani ilipita kimya bila kuonana na bila taarifa kama kamchango chetu kiliwakilishwa pls pearl tupe majibu au yeyeto mwenye taarifa
 
kale kamchango naskitika nimekalaaaaaaaaaa,anywei kiddding ijumaa hatukuweza kuonana na mlengwa hasa wa kupokea hizo pesa,so akasema leo tutawasiliana so far nasubiri cm yake ili nijue ni wapi na sa ngapi will let u pple no,but ijumaa nilikutana na baba enock nae akamwaga mijihela kama mchango wake

hello, lm back.
mambo vp?
 
@bujibuji
karibu sana hope umepona kabisa maombi ya wanajf yamefanya kazi heko jf wote walokuombea
 
kale kamchango naskitika nimekalaaaaaaaaaa,anywei kiddding ijumaa hatukuweza kuonana na mlengwa hasa wa kupokea hizo pesa,so akasema leo tutawasiliana so far nasubiri cm yake ili nijue ni wapi na sa ngapi will let u pple no,but ijumaa nilikutana na baba enock nae akamwaga mijihela kama mchango wake

yani wana jf tunavyopinga ufisadi kwa nguvu zote alafu uje ufanye usanii kwenye jumba la sanaa ungejutaaaaaaaaaaaaaa kutufahamuuuuuuuuuu
 
mm nijuteeeeee kuwafaham??????????????ntanikamatia wapi?au nileeeeeeeee,bac njo tule woteeeeeeeeeeeeeeee
yani wana jf tunavyopinga ufisadi kwa nguvu zote alafu uje ufanye usanii kwenye jumba la sanaa ungejutaaaaaaaaaaaaaa kutufahamuuuuuuuuuu
 
aka kula mwenyewe kukukamata tutakukamata tu ujanja akuna
 
poa unataka nikukamate lini je om or job or barabarani chagua
 
Back
Top Bottom