PEARL: FAMII FORUMS Itakununulia BLACKBERRY

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
74,730
155,414
Kutokana na kutokuwepo kwako kwenye jamvi kwa muda mrefu, wanachama wa JAMII FORUMS tumeitisha mchango ili kukunulia Blackberry mpya kabisa ili uweze kupata mambo na uhondo kutoka kwenye forum yako uipendayo huku ukibadilishana mawazo na marafiki mbalimbali.
Tumekumiss sana Mama Therengetitherengeti..
 
Forum gani itakayo mnunulia pearl simu?
Je ni famii forums au jamii forums?
Yule mrembo humu ndani kumbe ni kiumbe muhimu sana, nlidhani ananigusa peke yangu, kumbe waguswaji tuko wengi.
Long live jf
 
We gonna count where she contributed more! but i hope huku ndo nyumbani kwake!!!
 
Bujibuji rekebisha heading!

Hivi kuna watu bado wanatumia muda na komputa za ofisi hadi leo!
Ona sasa! tunamkosa huyu mrembo unnecessarily!
 
kuna kazi akili kichwa alikuwa anaifanya, sijui ni kwa nini kaisitisha wallah....tumemmiss huyu binti
 
Amefulia banaa!
Yupo likizo na pesa za kwenda internet caf'e hana.
Atarudi likizo yake itakapokwisha.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom