GAMBLER
JF-Expert Member
- Nov 22, 2009
- 303
- 11
Wakuu habari zenu
Ninatumia blackberry curve, kuna mafile nataka kufungua yanahitahi pdf reader, nimejaribu ku search
Nimepata za kulipia na taratibu za kulipa sizijui kabisa, sasa naomba msaada wenu wapi naweza pata free
Na pia nauliza hivi inawezekanaje kulipia hizi software kwa mtandao?