Abdulhalim
Platinum Member
- Jul 20, 2007
- 17,193
- 3,011
Mkuu soma habari iliyotangulia..Kisha nitafsirie ibala ya 19(2) unaielewa vipi...Na kwa kumalizia tu inaposemwa - Serikali haina dini ila watu wake, sii maneno ya PTC wala KKKT ila ni katika kuielewa katiba..
Niseme tu kuwa :
Sehemu (1) ya katiba Ibara ya 19 inaongelea individual ana rights zipi kuhusu imani.
Sehemu (2) inakazia kuhusu protection ya hizo rights za individual zinakuwa vested inline with other laws ktk kuharmonize peace na mafungamano ktk jamii. Yaani hizo rights zinakuwa protected iwapo mtu havunji sheria nyingine zinazoweza kuvunja amani, kuharibu umoja na mafungamano ya waTZ.
NUKTA.
Tiari mpaka hapo?