Gama
JF-Expert Member
- Jan 9, 2010
- 13,266
- 4,716
Kwa baadhi ya wahitimu wa kidato cha nne wameonekana kuwa wali-cheat katika mitihani yao napendekeza uchunguzi mwingine uanzie kwa mwanafunzi "Mwanaasha MK" kwani alama zake zinatia mashaka yafuatayo:
.shule ya Feza huchuja wanafunzi kila mwaka, kama alikuwa hana uwezo na akaendelea kuwepo shuleni basi alikuwa akitoa rushwa kwa shule ili aendelee kuwepo ama mzazi wake alikuwa akitumia madaraka yake kulazimisha mwanaye asiondolewe hapo shuleni.
Kama alikuwa na uwezo wa kufaulu katka mitihani ya vidato vya chini lakini akasjindwa vibaya ktk mtihani wa mwisho hili ni ishara kuwa alipewa mtihani "fake" hivyo alijifungia chumbani kusoma na kukariri maswali fake na hivyo kushindwa vibaya-hili pia linahitaji uchunguzi.