PCCB: NSSF is the least corrupt institution in Tanzania

Kulikuwa na thread inayosema wanasiasa waliificha hii ripoti isitolewe kabla ya uchaguzi,ila kutokana na ripoti hii,wanasiasa hasa wabunge na wakuu wa wilaya ndio less corrupt.
Na pia imeonyesha watu wengi hawadhani embezzlement na fraud as a form of corruption.
 
Big up Dr. Dau....ila wabongo inanekana udini unataka kuwa cancer sugu..hata kwenye ukweli tunaweka mambo ya dini! Tubadilike
 
Big up Dr. Dau....ila wabongo inanekana udini unataka kuwa cancer sugu..hata kwenye ukweli tunaweka mambo ya dini! Tubadilike

Yaani ni hatari sanaa watu wanshindwa kukemea au kusifia mpaka ajue anayetakiwa kukemewa au kusifiwa ni wa dini gani. So mtu unashindwa kusifia justbecasue msifiwa ni dini fulani au unashindwa kukemea kwa sababu anayatakiwa kukemewa ni dini fulani.
 
Jamani someni ripoti angalieni majedwali; NSSF ndiyo ambayo ilikuuwa na percentage ya watu wanaosema kuwa "hawajui" kama ni corrupt au vipi wakati sekta ya afya ikiwa na percentage ya chini kabisa ya watu ambao walijibu swali la sijui? ina maana gani? Ripoti haisemi NSSF ni least corrupt..
 
Hawa PCCB kweli wameshindwa kazi. NSSF inaongoza kwa rushwa. Mimi juzi nimechukua pesa zangu za early withdrawal kama mwanachama wa NSSF, waligoma kunilipa na kudai niwape rushwa ya 10 percent ya mafao yangu ndiyo wanipe pesa.

Mbona inajulikana wazi kabisa kuwa ukitaka kulipwa mafao yako mapema lazima utoe rushwa NSSF.

Na ule ufisadi mkubwa NSSF waliofanya kwa kununua magodown kwa Yusuf Manji pale Ubungo kwa zaidi ya 40 billion shillings ambayo ni mara 4 ya thamani halisi ya magodown yale? Huu ulikuwa ni ufisadi mkubwa lakini PCCB wameupa kisogo.
 
Table 3.1.10: Households' Perception about the Extent of Corruption among
Public Institutions

Institution Very Fairly Not Do Not Total
Corrupt Corrupt Corrupt Know
Health Institution 39.5 45.4 8.9 6.2 100
Education Institution 12.6 48.7 29.6 9.1 100
Immigration Department 21 28.4 7.4 43.2 100
Police Force as a whole 64.7 24.9 3.1 7.3 100
Traffic Police 66.4 22.3 2.7 8.6 100
Tanzania Revenue Authority – TRA 25.2 36.8 7.5 30.5 100
Court 58.9 27.4 3.3 10.4 100
Department of Communication 8.5 25 16.4 50.1 100
Department of Water/Sanitation 11.5 31.7 18.6 38.2 100
Tanesco 20.4 29.6 7.7 42.3 100
Ministry of Finance -Pensions Department 10.4 23.9 9.9 55.8 100
PCCB 6.7 22.9 23.6 46.8 100
NSSF 5.2 23.5 13.5 57.8 100
Banking 5.9 30.8 20.9 42.4 100
City/Municipal/District/Town Council 18.9 49.2 11.6 20.3 100
Village/Street Government 16.8 49.2 23.4 10.6 100
Local Land Tribunal 26.7 39.7 13.8 19.8 100
Local Arbitration Tribunal 21.6 43.1 14.4 20.9 100
Tender Board 19.9 28.7 6.8 44.6 100
24

ina maana ripoti inasema NSSF ni least corrupt public institution?
 
ina maana ripoti inasema NSSF ni least corrupt public institution?

And what is least subjectively to these guys? look at this.....

The least corrupt institutions are the NSSF, PCCB and banking sector; these institutions are ranked as corrupt by only 28.7 percent, 29.6 percent and 36.7 percent of household respondents, respectively

So by gannering 28.7%(more than a quarter of the votes) they are being appauled? being the last does not make you the beast least....that is a lot of voters....wangepata 2% then tungewapongeza...sawa na mwanao kuwa wa kwanza darasani kwa kapata 12% marks utafanya pati au utamhamisha shule?
 
Hawa PCCB kweli wameshindwa kazi. NSSF inaongoza kwa rushwa. Mimi juzi nimechukua pesa zangu za early withdrawal kama mwanachama wa NSSF, waligoma kunilipa na kudai niwape rushwa ya 10 percent ya mafao yangu ndiyo wanipe pesa.

Mbona inajulikana wazi kabisa kuwa ukitaka kulipwa mafao yako mapema lazima utoe rushwa NSSF.

Na ule ufisadi mkubwa NSSF waliofanya kwa kununua magodown kwa Yusuf Manji pale Ubungo kwa zaidi ya 40 billion shillings ambayo ni mara 4 ya thamani halisi ya magodown yale? Huu ulikuwa ni ufisadi mkubwa lakini PCCB wameupa kisogo.

Kupotosha umma ni jambo la hatari, ni wazi TAKUKURU wanamapungufu yao! utafiti huu haukufanywa na TAKUKURU bali ulifanywa na FACEIT na mashirika mengine ili kujua hali ya rushwa nchini hivyo ripoti hiyo haikuandaliwa na TAKUKURU ndio maana hata wao kwa kiasi fulani wametajwa kuhusika na rushwa katika utendaji wao. Soma ripoti vizuri usipotoshe umma.
 
Tatizo langu kubwa lipo hapa - underlined words

Kuna watu hawajui kazi ya NSSF, PCCB, na Mabenki hata wengine hawajawahi kufika zilipo ofizi za hizo idara! But on the other hand, asilimia karibu 100% ya "household" wanafahamu angalau kituo kimoja cha POLISI na Ofisi za Mahakama na walishawahi in one way or another ku-deal na POLISI au Mahakama au DAWASCO au TANESCO au e.t.c

Kwahiyo, tafiti hii nayo imejaa RUSHWA

I CONCUR!
Binafsi sizifahamu kazi za NSSF, PSPF, LAPF, PPF, GSPF, PFRA, etc ingawa ni mwanachama wa moja ya hivyo vyama!!
nliwahi kuhama toka NSSF na ilinichukua miezi karibu 27 kufanikisha huo uhamisho!
 
Kupotosha umma ni jambo la hatari, ni wazi TAKUKURU wanamapungufu yao! utafiti huu haukufanywa na TAKUKURU bali ulifanywa na FACEIT na mashirika mengine ili kujua hali ya rushwa nchini hivyo ripoti hiyo haikuandaliwa na TAKUKURU ndio maana hata wao kwa kiasi fulani wametajwa kuhusika na rushwa katika utendaji wao. Soma ripoti vizuri usipotoshe umma.

Mbona inakaririwa PCCB report? na pages zinatajwa kabisa?See below:

The least corrupt institutions are the National Social Security Fund (NSSF), Prevention and Combating of Corruption Bureau (PCCB) and the banking sector.

Source PCCB report page 13

lakini PCCB hawakuishia hapo waliamua kuendelea kwa kusema hivi:

The least corrupt institutions are the NSSF, PCCB and banking sector; these institutions are ranked as corrupt by only 28.7 percent, 29.6 percent and 36.7 percent of household respondents, respectively.

source PCCB report page 38
 
Back
Top Bottom