PCCB: NSSF is the least corrupt institution in Tanzania

duh!

kwa mwendo kama huu bas sidhani kama tutafika maana hata kutoka hatujatoka kwenye safari hii

ila swali langu mimi ni moja

Kwa nini sifa hii asipewe KITILA wa TRA? why and whats so special about Dau?

au TRA nako kuna rushwa iliyokithiri?

you cant be serious
 
Unataka huo ujiko apewe Kitilya??? wewe lazima utakuwa CHADEMA :biggrin1:
 
hakuna lolote! ni mwendelezo wa kuipigia debe NSSF, PCCB wameoza kabisa tunawajua.
 
Imgine how PPF na pension funds zingine zinavyoreact na hizi news....

ama kweli we are building your future with TRUST & HONESTY
 
Mimi naona tusiingize mambo ya dini kwenye hili kwani IGP ni mwisilam na Polisi inaongoza kwa rushwa. Kama wamesema hivyo tuwasifie lakini sababu mojawapo inaweza kuwa mishahara mikubwa kwa wafanyakazi. NSSF Investment zao zimelipa na wana fund kubwa sana ambayo imetokana na faida ya Investment hii inasaidia wenyewe kuwekeza kwenye technologia ya kuangalia pesa na kuweza kulipa wafanyakazi vizuri.
 
watanzania tumechoka kudanganywa hawa pccb walitumia njia gani mmesahau kuwa hawa pccb walimsafisha chenge
Huyo Boss wa PCCB SI ALISIMAMA bungeni akamtetea Chenge kuwa hakula rusha ya rada na Waingeleza wakathibitisha kuna rushwa tena chafu watarudisha kiasi cha fedha za rushwa???????
Huyo huyo Hosea Boss wa PCCB BILA AIBU AKATETEA RICHMOND kuwa hakuna rushwa, Mhs Mwakyembe akamwaga radhi ya rushwa ya ajabu inayonuka kwenye mikataba ya RICHMOND na watu wakajiudhuru na yeye ilipendekezwe ajiudhuru.
Sasa kama TOP kumeoza bado shingo na body yote PCCB ni salama?????????
 
Jamani naomba mniwie radhi kwa kuharibu moods zenu lakini PCCB wanasema hivi kuhusu NSSF:

The least corrupt institutions are the National Social Security Fund (NSSF), Prevention and Combating of Corruption Bureau (PCCB) and the banking sector.

Source PCCB report page 13

lakini PCCB hawakuishia hapo waliamua kuendelea kwa kusema hivi:

The least corrupt institutions are the NSSF, PCCB and banking sector; these institutions are ranked as corrupt by only 28.7 percent, 29.6 percent and 36.7 percent of household respondents, respectively.

source PCCB report page 38

Looks like Dr Dau is doing something that Kimei of CRDB, Ndulu of BOT,Kitilya of TRA, Mahingila of BRELA, Erio of PPF are not doing.

Najua kuwa kila institution ni eunique lakini ukweli unabaki pale pale kuwa Dr Dau ameprove kuwa centered leadership is a journey and not a destination, and it starts with a highly personal decision ambazo aliziweka pale NSSF alipoichukua from Mr Mkulo wakati kuo NPF.

Nakumbuka one of his words sometimes in 2006 aliwahi kusema kuwa tatizo la ma CEO wa Tanzania wa siku hizi wanazungumzia mambo ya changing the organization, changing the mind-sets and behavior za watu lakini Dau anasema kuwa transformation is not about that ila as for NSSF it started with his willingness and ability to transform himself. Only then will others transform.

By the way Dr Dau alisomeshwa na shirika la masoko la kariakoo enzi hizoooo....

Kwa taarifa kama hii toka PCCB idea yake ni nzuri sana ila PCCB wanatakiwa wawe wanatoa taarifa kama hizi kila mwaka na kwa mashirika,wizara na taasisi zote za serikali na binafsi pia ili wananchi tujue wapi patoa moshi mkubwa wa rushwa na hata zianzishwe award kwa firma ambazo hazina rushwa kama njia mojawapo ya kuongeza changamoto za kupambana na rushwa
 
Huyo Boss wa PCCB SI ALISIMAMA bungeni akamtetea Chenge kuwa hakula rusha ya rada na Waingeleza wakathibitisha kuna rushwa tena chafu watarudisha kiasi cha fedha za rushwa???????
Huyo huyo Hosea Boss wa PCCB BILA AIBU AKATETEA RICHMOND kuwa hakuna rushwa, Mhs Mwakyembe akamwaga radhi ya rushwa ya ajabu inayonuka kwenye mikataba ya RICHMOND na watu wakajiudhuru na yeye ilipendekezwe ajiudhuru.
Sasa kama TOP kumeoza bado shingo na body yote PCCB ni salama?????????

jamani! kiswahili ndio kimetushinda?
 
all in all huyu mswahili ameweza vipi kufikia hapo alipofikia ?

and what is it that he gets right ambacho KITILA wa TRA hakiwezi?

kwanza isije ikawa PHD yake aliandika kuhusu theory za BIRDS and PONDS?

btw

I believe kuwa huyu Hosea amesilimishwa na huyu Dau.
 
Hivi huyu bwana anaitwa Hosea ama Kosea?
Nakumbuka alivyowahi kuipamba RICHMOND na baadae kunyamaza kimya baada ya ripoti ya Mwakyembe.
Kama aliyosema ni kweli basi neno "CORRUPTION" litakuwa limepoteza maana yake.
 
1.jpg

Jamani naomba mniwie radhi kwa kuharibu moods zenu lakini PCCB wanasema hivi kuhusu NSSF:

The least corrupt institutions are the National Social Security Fund (NSSF), Prevention and Combating of Corruption Bureau (PCCB) and the banking sector.

Source PCCB report page 13

lakini PCCB hawakuishia hapo waliamua kuendelea kwa kusema hivi:

The least corrupt institutions are the NSSF, PCCB and banking sector; these institutions are ranked as corrupt by only 28.7 percent, 29.6 percent and 36.7 percent of household respondents, respectively.

source PCCB report page 38

Looks like Dr Dau is doing something that Kimei of CRDB, Ndulu of BOT,Kitilya of TRA, Mahingila of BRELA, Erio of PPF are not doing.

Najua kuwa kila institution ni eunique lakini ukweli unabaki pale pale kuwa Dr Dau ameprove kuwa centered leadership is a journey and not a destination, and it starts with a highly personal decision ambazo aliziweka pale NSSF alipoichukua from Mr Mkulo wakati kuo NPF.

Nakumbuka one of his words sometimes in 2006 aliwahi kusema kuwa tatizo la ma CEO wa Tanzania wa siku hizi wanazungumzia mambo ya changing the organization, changing the mind-sets and behavior za watu lakini Dau anasema kuwa transformation is not about that ila as for NSSF it started with his willingness and ability to transform himself. Only then will others transform.

By the way Dr Dau alisomeshwa na shirika la masoko la kariakoo enzi hizoooo....

Kasomeshwa kama staff wao au kasomeshwa kwa scholarship?

shirika lile lilivyotaaban kweli lina uwezo wa kumsomesha mtu au bas tuu mnapigiana debe?
 
Hivi huyu bwana anaitwa Hosea ama Kosea?
Nakumbuka alivyowahi kuipamba RICHMOND na baadae kunyamaza kimya baada ya ripoti ya Mwakyembe.
Kama aliyosema ni kweli basi neno "CORRUPTION" litakuwa limepoteza maana yake.

ripoti ime kuwa very specific....ni PCCB na NSSF peke yake ambazo sio corrupt!

kwa maneno mengine rushwa imejaa idara zingine zote za serikali kasoro hizo tuuu
 
Huyu Hosea atakuwa anamtetea Muislam mwenzie Dau

haiwezekani kati ya mashirika yooote NSSF peke yake wawe mentioned kuwa wao ndio least corrupt!

kumbe HOSEA ni muislam? duh! naona nasi hapa JF tumeanza kusukumwa na hisia zetu chafu. itabidi huko tuendako tujivue gamba kama haya ndo mambo menyewe.
 
PCCB ipi?kama ni hii ya EH siwezi kukubali,walimsafisha Chenge na Richmond,kama kiongozi wa taasisi nyeti aliweza kudangaya live vile taasisi anayoiongoza itakuwa na hadhi ya kufanya utafiti?tena unaohusu mambo yale yale ya rushwa?
 
Jamani naomba mniwie radhi kwa kuharibu moods zenu lakini PCCB wanasema hivi kuhusu NSSF:

The least corrupt institutions are the National Social Security Fund (NSSF), Prevention and Combating of Corruption Bureau (PCCB) and the banking sector.

Hii ripoti uchambuzi wake bado uko kijuu juu.

kwa nature ya buiness yake NSSF inaweza na haitakiwi iiwe most corrupt but inabidi tuwapongeze kiasi fulani. Na wale wanaochambua ripoti kwa misngi ya dini Naona akili zao zimechoka. ni kama akili za msekwa aliyesema JF ni adui wa CCM

Tatizo lingine la ripoti hii halitaji aina
time au scope ya corruption inayozungumziwa.

Je wamezingatia malalamiko ya Grand corruption kama zile Ya Yusuf manji au wanaongelea petty corruption za shilingi 20,000.

Mfano kuna
taasisi kama Polisi , hospitali zinaongoza kwa petty corruption ya kama shilingi 20,000..... na kuna nyingine corruption yake ni grand inahusiaha kiasi kikuwa cha pesa . Kuna taasisis au mabosi taasisi zao zinaongoza kwa corruption ya ngono.

While nawapongeza NSSF but wasijivunie kitu.......... na PCCB wajifunze kuandika ripoti zenye uchambhzi ulioenda shule.
Kama taasisi inayoshugulikia rushwa walitakiwa wachambue corrption kiundani kwa undandni na takwimu mbalimbali na kwa muda fulani
 
Back
Top Bottom