PC yangu inashindwa ku-start windows

NICK2275

JF-Expert Member
Oct 31, 2010
3,931
918
Wakuu laptop yangu jioni hii baada ya kuizima bila tatizo lolote mchana,nimerudi nataka kuwasha inagoma/inashindwa kuwaka-inatoa blue screen then inaji-restart yenyewe-kila kushindwa kuwaka kabisa
Imenipa options ya kufix problem automatically lakini imeshindwa-nataka ni-reinstall windows tena-lakini nasita kufanya hivyo coz nahisi kuna nJia ambayo naweza solve hii mambo bila kure-instal windows-
KAMA KUNA MTU MWENYE CLUE YA TATIZO KAMA HILI AU ASHAKUTANA NA TATIZO KAMA HILI NA AKALIMALIZA VYEMA-NAOMBA MSAADA WENU
 
Try to repair your windows though hujasema ni windows gani iliyopo kwasasa, but final destination ya BlueScreen ni Reinstallation of a new copy of Windows. But you can save all you data that are may be included in the previous windows in your Desktop and My Documents other locations by Booting from CD/DVD ya Ubuntu/Mint/LiveCD try to use Ubuntu from CD/DVD then utafungua PC yako hapo utaziona all your DRIVES (PARTITIONS) na kuweza kuhamisha all your documents from drive (C) which are contained in windows files to any Other drive (D/E) used for BackUp.
>>>>>>feedback
 
Bluescreen error itajitokeza endapo pc itatambua kuna software au hardware ambayo inaweza ku damage system imeongezeka ktk pc yako sometime inatokea kama umebadilisha RAM,HDD,n etc au kama ume-install software ambayo si familiar na system.
Ili ku-repair kwa urahisi unatakiwa uwe na system image ambayo uli backup pindi ikiwapo nzima vinginevyo ni kufanya fresh installation ya window(install upya).
 
washa pc yako ukiwasha minya f8 continously mpaka menu flan itokee chagua Disable
Automatic Restart KAMA HAITAWEZEKANA ingiza boot cd then hadi ikitokea ile PRESS R TO REPAIR hapo kitatokea kibox cha kwanza andika fixboot afu minya enter then andika tena chkdsk minya enter you are done andika exit minya enter zima pc yako toa cd
 
try to repair your windows though hujasema ni windows gani iliyopo kwasasa, but final destination ya bluescreen ni reinstallation of a new copy of windows. But you can save all you data that are may be included in the previous windows in your desktop and my documents other locations by booting from cd/dvd ya ubuntu/mint/livecd try to use ubuntu from cd/dvd then utafungua pc yako hapo utaziona all your drives (partitions) na kuweza kuhamisha all your documents from drive (c) which are contained in windows files to any other drive (d/e) used for backup.
>>>>>>feedback

bluescreen error itajitokeza endapo pc itatambua kuna software au hardware ambayo inaweza ku damage system imeongezeka ktk pc yako sometime inatokea kama umebadilisha ram,hdd,n etc au kama ume-install software ambayo si familiar na system.
Ili ku-repair kwa urahisi unatakiwa uwe na system image ambayo uli backup pindi ikiwapo nzima vinginevyo ni kufanya fresh installation ya window(install upya).

washa pc yako ukiwasha minya f8 continously mpaka menu flan itokee chagua disable
automatic restart kama haitawezekana ingiza boot cd then hadi ikitokea ile press r to repair hapo kitatokea kibox cha kwanza andika fixboot afu minya enter then andika tena chkdsk minya enter you are done andika exit minya enter zima pc yako toa cd

wakuu asanten kwa michango yenu-nimeona nireinstall windows tu as a shortcut
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom