PAYPAL account

xivii09

JF-Expert Member
Feb 9, 2012
265
145
JF wadau wa mambo haya ya transaction ya money online nataka kujiunga nayo sasa nataka kujuzwa namna inavyo fanya kazi kwa sasa natumia kale ka-benki ketu ka "twiga" sasa nitaungwanishawa ivi? na faida na hasala kwa wazoefu jamani.:redface:
 
Back
Top Bottom