Pay As You Earn (PAYE): Wafanyakazi mna maoni gani?

Mimi ugali wangu wa kila siku unategemea maissues ya kodi mkuu, so I konw very well the ITAs, TRA & Co!

Hongera kwa hilo hali inajionyesha kwenye quotes zako.

Lakini huoni hapo hizo excemtion zinawahusu watu wachache tu????
  1. Pesident of URT and Zanzibar.
  2. Gratuity za wabunge
  3. Executive Agencies (is this Imployment Income??)
  4. Hiyo exemtion wakitaka hata waiondoe kwani kuna segregation hapo, nadha asilimia kubwa ya wafanya kazi hawakufaidika nao na ni wale wa kipato cha chini ambao hawakupata sitting allowance wala PER DIEM......
  5. TUIELIMISHANE ZAIDI
 
………….
(s) gratuity granted to a Member of Parliament at the end of
each term;

Sasa wale wa private sector hawana cha baadhi wala nini, everyone is treated with equal foot!

Naam!

Mimi ugali wangu wa kila siku unategemea maissues ya kodi mkuu, so I know very well the ITAs, TRA & Co!

Mkuu , mbona mishahara ya Wabunge haiko exempted ( only the gratuity is) mbona sasa mamlaka ya kodi inakuwa na kigugumizi kuwalipisha kodi?
hata hiyo gratuity kutokuikata kodi hakuna mantiki - anyway ndo sheria!
 
ETI "PAYE haiwezi kupunguzwa kwa sababu ni kadi ambayo haina usumbufu wowote ule kwenye ukusanyaji......"

MUNGU WANGU, Kama kweli hii ndio sababu basi watanzania uvivu utatumaliza, hizo sheria zenu za kuwabana Employer kwanini msizitumie kubana kwenye vyanzo vingine?n HAINIINGII AKILINI HII kwakweli.......

Unajua Wafanyabiashara wengi sana wadogo na wakubwa huwa ni wakwepaji kodi, na ndio maana MAFISADI wengi ni wafanyabiashara. Sasa basi kwa sababu ya kuwaficha hawa MAFISADI kwenye maswala yanayohusu kodi, ndio Mheshimiwa wa awamu ya tatu aka-introduce mambo ya PAYE.

Sheria zipo, tatizo ni kuwa Tanzania imekumbwa na janga zito la UFISADI, kinachotakiwa ni kukomesha UFISADI ili kila mmoja (Mfanyakazi na Mfanyabiashara) alipe kodi kama inavyotakiwa.
 
Wapunguze kwanza PAYE wakose makusanyo ndio watawabana vizuri haina logic kuwakamua wananchi eti kwa sababu mafisadi hawalipi kodi kama inavyotakiwa unless uniambia TRA ipo kwa ajili ya kuwalinda the so called MAFISADI, hata samaki wetu tunaibiwa mpaka magufuli atufungue macho ndio tujue???
 
Au kama wanaweza PAYE% wapeleke kwenye NSSF....Tunaweza badili hii kitu kwani jamani ni mingi mno...ukiangalia ka saraly sleepwatamani kuzimia..unapo ona unakwenda dukani unanunua kitu mfanya biashara anaweka cha juu ili kuweza kulipa kodi na kupata faida maradufu.Kuna baadhi ya nchi wameweka utaratibu kwa mfanyakazi kwenda hata bar na kitambulisho chake kwani...kinakuwa electronics...bei ya kununulia sio kama ya mtu mwingine..kwa kuwa umeshalipa kodi kwenye mshahara wako.Bongo hiyo kufika mpaka tawala ya ccm itoke.
 
Mkuu , mbona mishahara ya Wabunge haiko exempted ( only the gratuity is) mbona sasa mamlaka ya kodi inakuwa na kigugumizi kuwalipisha kodi?
hata hiyo gratuity kutokuikata kodi hakuna mantiki - anyway ndo sheria!

WOS,

Ndo maana nimesema TRA hawako serious ktk usimamiaji wa kodi kny taasisi za serikali, laiti wangekuwa makini walivyo kwa private sector, basi mapato yangekuwa makubwa sana!

Hata na hivyo wabunge wanalipa kodi on their basic salary lakini marapurapu hawalipi kodi na TRA kimyaaaaaaaaa!

Gratuity ndo kwanza iko exempted, sasa ukichukilia wanalipwa Tshs 25mil is like kila mwaka walipwa Tshs 5mil (25/5yrs) na hii is not taxed times number of MPs 256*25,000,000=6.4bil......if was taxed.....wangelipa an approx Tshs 1.9 bilion!
 
Unajua Wafanyabiashara wengi sana wadogo na wakubwa huwa ni wakwepaji kodi, na ndio maana MAFISADI wengi ni wafanyabiashara. Sasa basi kwa sababu ya kuwaficha hawa MAFISADI kwenye maswala yanayohusu kodi, ndio Mheshimiwa wa awamu ya tatu aka-introduce mambo ya PAYE.

Sheria zipo, tatizo ni kuwa Tanzania imekumbwa na janga zito la UFISADI, kinachotakiwa ni kukomesha UFISADI ili kila mmoja (Mfanyakazi na Mfanyabiashara) alipe kodi kama inavyotakiwa.

MAFISADi WENGI ni wafanyabiasha, wafanyakazi wanaosaidiana na MAFISADI tunawapa jina gani???? if fisadi mmoja lazima anasaidiwa na zaidi ya mfanyakazi mmoja therefore wafanyakaziFISADI ni wengi kuliko wafanyabiasharaFISADI
 
Hongera kwa hilo hali inajionyesha kwenye quotes zako.

Haahahahaaaa! thanks!

Lakini huoni hapo hizo excemtion zinawahusu watu wachache tu????
  1. Pesident of URT and Zanzibar.
  2. Gratuity za wabunge
  3. Executive Agencies (is this Imployment Income??)
  4. Hiyo exemtion wakitaka hata waiondoe kwani kuna segregation hapo, nadha asilimia kubwa ya wafanya kazi hawakufaidika nao na ni wale wa kipato cha chini ambao hawakupata sitting allowance wala PER DIEM......
  5. TUIELIMISHANE ZAIDI

Is true zinawahusu watu wachache but impact yake ni very significant! Kwa mfano;

1. Exemption ya kodi kny magari ......tax loss Tshs 3.2bil......(2006/2007)!

2. Gratuity za wabunge......1.9 bilion, tax loss!

Bado kwenye expemtions nyingine ambazo zipo kny schedule hapo that I can't quantify tax lost!

So exemptions zina impact kubwa sana kwenye tax mkuu...tukipata data tutaquantify zote!

Hoja ya msingi hata na hivyo ni mzigo mkubwa wa kodi kwa wafanyakazi kwa ujumla compared kwa wananchi wengine!

Mfanyakazi;
  • Akiweza kuwa na gari anakutana na kodi kwenye mafuta, leseni, kodi ya gari, kodi kwenye spare za gari & lubricants
  • Akipewa mkopo...interest free toka kwa mwajiri wake unakumbana na kodi
  • Akipewa gari la ofisi.....tabu anatakiwa aquantify benefit anayopata na iwe taxed
  • Akipiga simu ya ofisini kwa masuala binafsi ......tabu, inatakiwa alipie kodi
  • akienda dukani......hatofautishwi na wananchi wengine nako anakutana na ma exercise duty, VAT,stampt duty etc
  • Nenda bar...huko ndo acha kabisa!
  • Watoto wake wakilipiwa school fees na ofisi.....noma, inatakiwa zipigwe kodi!
So mzigo wa kodi kwa wafanyakazi ni balaa tupu!.....bora kuwa mjasiriamali!
 
MAFISADi WENGI ni wafanyabiasha, wafanyakazi wanaosaidiana na MAFISADI tunawapa jina gani???? if fisadi mmoja lazima anasaidiwa na zaidi ya mfanyakazi mmoja therefore wafanyakaziFISADI ni wengi kuliko wafanyabiasharaFISADI

Kuna watu wa serikalini wanatumika tu kupitisha documents na dili nyingi za mafisadi.
 
Haahahahaaaa! thanks!

Is true zinawahusu watu wachache but impact yake ni very significant! Kwa mfano;

1. Exemption ya kodi kny magari ......tax loss Tshs 3.2bil......(2006/2007)!

2. Gratuity za wabunge......1.9 bilion, tax loss!

Bado kwenye expemtions nyingine ambazo zipo kny schedule hapo that I can't quantify tax lost!

So exemptions zina impact kubwa sana kwenye tax mkuu...tukipata data tutaquantify zote!

Hoja ya msingi hata na hivyo ni mzigo mkubwa wa kodi kwa wafanyakazi kwa ujumla compared kwa wananchi wengine!

Mfanyakazi;
  • Akiweza kuwa na gari anakutana na kodi kwenye mafuta, leseni, kodi ya gari, kodi kwenye spare za gari & lubricants
  • Akipewa mkopo...interest free toka kwa mwajiri wake unakumbana na kodi
  • Akipewa gari la ofisi.....tabu anatakiwa aquantify benefit anayopata na iwe taxed
  • Akipiga simu ya ofisini kwa masuala binafsi ......tabu, inatakiwa alipie kodi
  • akienda dukani......hatofautishwi na wananchi wengine nako anakutana na ma exercise duty, VAT,stampt duty etc
  • Nenda bar...huko ndo acha kabisa!
  • Watoto wake wakilipiwa school fees na ofisi.....noma, inatakiwa zipigwe kodi!
So mzigo wa kodi kwa wafanyakazi ni balaa tupu!.....bora kuwa mjasiriamali!

Kuna watu wa serikalini wanatumika tu kupitisha documents na dili nyingi za mafisadi.

Kuna watu wa serikalini wanatumika tu kupitisha documents na dili nyingi za mafisadi, tuwatafutie JINA ni MAFISADISALITI unapewa milioni tano kwa deal linalicost taifa bilioni moja??????!!!!!!

In this case hatuna sababu ya kujisikia wanyonge na ua kuwaogopa mafisad hata kama wameshikiria uchumi lakini nchi inaendeshwa na wananchi wa kawaida na tuaoibiwa ni thithi. TRA watoe TANGAZO kabisa kuwa walipaji wakubwa wa kodi ni wafanyakazi kupitia P.A.Y.E sio wanaishia kushindanisha na kutoa takwimu za makampuni kwenye corporate tax na nyingine, alafu hivi kama umeattach tax kubwa kwenye bia na sigara inakuwaje useme TBL ni mlipa kodi wa kwanza kwa makampuni? mimi naona kama haya makampuni ni AGENTS.........
 
Hiyo kodi inaumiza sana. Isitoshe ukistaaf malipo yako yanakatwa kodi kuuubwa. Hawaoni wanatudable tax?
 
Mfamaji, Pension huwa hawaikati kodi ili waje kupata faida baadae kwa sababu tax rate zitakuwa zimebadilika na kwa bahati mbaya sana huwa zinaongezeka tu.
 
Kuna watu wa serikalini wanatumika tu kupitisha documents na dili nyingi za mafisadi, tuwatafutie JINA ni MAFISADISALITI unapewa milioni tano kwa deal linalicost taifa bilioni moja??????!!!!!!
Hii inauma sana Kanda2, anahongwa hata offer ya bia Kempnsik au kama ulivyo sema 5mil, jamaa wanalamba trillion of money za wabongo indefinately!

TRA watoe TANGAZO kabisa kuwa walipaji wakubwa wa kodi ni wafanyakazi kupitia P.A.Y.E sio wanaishia kushindanisha na kutoa takwimu za makampuni kwenye corporate tax na nyingine, alafu hivi kama umeattach tax kubwa kwenye bia na sigara inakuwaje useme TBL ni mlipa kodi wa kwanza kwa makampuni? mimi naona kama haya makampuni ni AGENTS.........[/
Understanding yako ni very correct! Hizi kodi kama vile; VAT,Import duty, Stampy duty, excise duty, PAYE, Withholding tax, Levies na all indirect taxes.....hawa jamaa ni MAAGENT TU! to them si lazima ziwe na impact kabisa kwa sababu wanaweza kuzipitisha kwa mlaji au wakawa refunded (VAT) na nyingine they just withhold on behalf of TRA (withholding taxes).

To them the only kodi whose impact inatakiwa waifeel ni Corporate tax tu!
 
Hii inauma sana Kanda2, anahongwa hata offer ya bia Kempnsik au kama ulivyo sema 5mil, jamaa wanalamba trillion of money za wabongo indefinately!

Understanding yako ni very correct! Hizi kodi kama vile; VAT,Import duty, Stampy duty, excise duty, PAYE, Withholding tax, Levies na all indirect taxes.....hawa jamaa ni MAAGENT TU! to them si lazima ziwe na impact kabisa kwa sababu wanaweza kuzipitisha kwa mlaji au wakawa refunded (VAT) na nyingine they just withhold on behalf of TRA (withholding taxes).

To them the only kodi whose impact inatakiwa waifeel ni Corporate tax tu!

Tehee au watuambie walipa KODI wa kwanza ni wale TUANOKAA kwenye VITI VIREFU ili tupate heshima yetu.
 
Having said all what we have said, wabunge wetu please saidieni kupunguza mzigo wa kodi mliowalundikia wafanyakazi! Next month mnaanza vikao vya budget, please please please saidieni kuhakikisha mzigo wa kodi kwa mfanyakazi unapungua.........!

Tena itakuwa bora mkapunguza hizo rates za employement tax, halafu mkacompansate effect yake kwa kuongeza kodi kule kwenye vilaji,sigara, na bidhaa nyingine....ili impact yake itawanyike kwa watu wengi zaidi ambao hawaathiriki moja kwa moja na kodi hizi!

Kwa wadau hapa wenye access na sehemu yoyote ya kusemea na kusikilizwa anywhere pleae convey the message wakuu.....wafanyakazi kodi inawauwa sana!
 
Next Level, kuhusu wabunge kusaidia kupunguza mzigo wa kodi kwa wafanyakazi hilo sahau. wabunge hao ndio wanasema mishahara yao haiwatoshi na wanajua kabisa ongezeko la mishahara yao itapatikana kwenye kodi za wafanyakazi alafu leo hii waseme serikali ipunguze kodi mhh!!!

Sisi wenyewe tunaofanya kazi kwenye public na private sector tutafute mbinu ambayo itatufanya tupumue kidogo kwenye huu mzigo wa kodi. Kwa mfano ku-share hizi kodi kati ya employer na employee. kama PAYE ni 500,00 basi 60% alipe employee na 40 percent alipe employer.
 
Hapa ndo kuna umuhimu wa kuwa na Mbunge anayewawakilisha Wafanyakazi.......hivi hamna Mbunge wa aina hiyo? kama yupo, anafanyaazi gani? na kama hayupo, vyama vya wafanyakazi vitengeneze hoja ya kuwa na mwakilishi wao mbungeni kwa ajili ya kutetea maslahi ya wafanyakazi!

Kuhusu kushare PAYE na employer....du hiyo kaka hakuna mwajiri atakubali, kumbuka now employers wanapambana na SDL ambayo ni 6% ya Gross salaries wanataka iondoke....so hili haliwezekani kabisa!

Mi narudi kule kule bungeni na serikali kwa ujumla kama kweli wana nia ya kusaidia wafanyakazi wawapunguzie mzigo wa kodi!
 
Next Level, kuhusu wabunge kusaidia kupunguza mzigo wa kodi kwa wafanyakazi hilo sahau. wabunge hao ndio wanasema mishahara yao haiwatoshi na wanajua kabisa ongezeko la mishahara yao itapatikana kwenye kodi za wafanyakazi alafu leo hii waseme serikali ipunguze kodi mhh!!!

Sisi wenyewe tunaofanya kazi kwenye public na private sector tutafute mbinu ambayo itatufanya tupumue kidogo kwenye huu mzigo wa kodi. Kwa mfano ku-share hizi kodi kati ya employer na employee. kama PAYE ni 500,00 basi 60% alipe employee na 40 percent alipe employer.

Wabunge wateteee mishahara ya wafanyakazi wote na sio ya kwao tu, yapo maeneo mengi ya kufidia, kwenye misamaha ya hovyo hovyo, sehemu nyingine ambazo hazisimamiwi vizuri..............

Kuhusu suala la employer kushare na employee SAHAU KABISA TRA wanasheria zao ukifanya hivyo tu hata hiyo % uliyochangiwa na muajiri wana ADDBACK kama ni income kwako then wanakuchanja KODI.......

"......Hapa ndo kuna umuhimu wa kuwa na Mbunge anayewawakilisha Wafanyakazi......." KWELI KABISA au hoja hii tumpatie shujaa wetu DR. Slaa aiunganishe kwenye HOJA ya mishahara ya wabunge......
 
Kuhusu suala la employer kushare na employee SAHAU KABISA TRA wanasheria zao ukifanya hivyo tu hata hiyo % uliyochangiwa na muajiri wana ADDBACK kama ni income kwako then wanakuchanja KODI.......

Haahahahaaaa....Kanda2 umenifurahisha sana hapo kny bold! Mkuu inaelekea PAYE ishakuumiza sana eeeeh!

Ni kweli anybenefit unayopata kutoka kwa employer inakuwa added back na ukuwa taxed accordly!

Regulation 4 of the Income tax act 2004, inasema ''Any expenditure by the employer for the benefit of employeee is not wholly and exclusively incurred for generation of incomes unless it is taxed in the hands of the beneficiary''

Kwa hiyo utaona hakuna sehemu ya kukumbilia zaidi ya kule kwenye mjengo!
 
Teheee usinivunje MBAVU kweli PAYE imeniumiza si tu mfuko bali na kichwa changu, especially ninopoona hakuna recognition sifa anapewa TBL, hela za kodi ZINAKWIBWA na MAFISADI... Basi tu natamani itokee muijiza watunga sheria iwaingie akilini mwao......
 
Similar Discussions

10 Reactions
Reply
Back
Top Bottom