Paul Makonda ateuliwa kuwa Waziri Mkuu MUCCOBS, Bunge lamkataa

baraka boki

Senior Member
Sep 20, 2010
181
80
Kada wa Chama cha Mapinduzi, ndugu Paul Makonda ameteuliwa kuwa Waziri Mkuu katika Chuo cha Ushirika na Rais wa Chuo ndugu Godfrey Washoto lakini katika hali isiyojulikana Bunge limekataa kumuidhinisha kuwa Waziri Mkuu kutokana na kwamba ndugu Paul Makonda amekuwa haeleweki na wabunge hawana imani naye kutokana na kuahirisha miaka kila mara na miaka yote hamalizi chuo.

Bunge la chuo limehairishwa bila kupata muafaka
 
jamani...mambo ya kitoto mnaleta kwetu sisi ...wanafunzi bado hao....wanalinda na serikali......hawana kodi hata moja...usilete tena habari za wanafunzi hapa
 
Paul Makonda ambeye ni waziri mkuu wa serikali ya wanafunzi wa MUCCOBS amewaragaraza marais zaidi ya sita kutoka katika vyuo vya elimu ya juu hapa tanzania katika kinyang'anyiro cha kugombea uraisi wa TAHLISO.

Paulo Makonda ambaye pia ni kada maakini wa ccm ameudhibitishia umma kwamba yeye ni kiongozi anayekubalikana anavuto kwa watanzania ndani ya ulingo wa siasa na nje pia.

Nani kama MAKONDA???
 
jamani...mambo ya kitoto mnaleta kwetu sisi ...wanafunzi bado hao....wanalinda na serikali......hawana kodi hata moja...usilete tena habari za wanafunzi hapa
Mkuu kwa wakati huo yalikuwa kama mambo ya "kitoto" sbb hatukujuwa kesho yetu.
Huu uzi ni wa 2011,hata bado Makonda hajamvuruga Jaji Warioba pale Ubungo Plaza.Kipindi hiki dogo alikuwa mtumwa wa Samwel Sitta.
Kumbe ni kweli dogo ali-disco mpaka chuo kikamchoka,hii ingeandikwa leo ingeonekana ni majungu.But this is 2011,Asante Sana Jamii Forum
 
Kumbe ali disco huko Ushirika, kusoma kote arts!!
 
Back
Top Bottom